Search results

  1. peno hasegawa

    Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Maandamano kupinga kauli mwenyewekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera.
  2. peno hasegawa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Sijamsikia Rais William Ruto, akipenda kupokea PhD za Bure, Sir -100 vya Bure vitakunyonga
  3. peno hasegawa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Kama CCM haikona na HAIJUI alicho ukifanya JPM, basi hicho chama ni cha kuondoa madarakani.
  4. peno hasegawa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Hizi PhD za Heshima hizi,Kuna siku zitatutokea puani. JPM miaka mitano hakutunukiwa hata diploma Moja Wala vi PhD. Jiulizeni hiki cha Sasa kinaitwa nini? Kila nchi yenye mradi nchini inamtunuku PhD😳
  5. peno hasegawa

    Upinzani hasa CHADEMA toeni neno kuhusiana na matamshi ya huyu kijana wa UVCCM Bokoba, haya siyo ya kudharau

    Neno ni hili hapa! Waliojenga msiwatukana Wala kuwasema vibaya😂
  6. peno hasegawa

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    https://www.tumemadini.go.tz/administration/management-team/
  7. peno hasegawa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Samia hana shule, shule ni zetu,fedha ni zetu na mikopo anayokopa tunalipa sisi.
  8. peno hasegawa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Samia ana shule? Fedha ni Kodi zetu,unazitumia mnasema shule ni za Samia😳
  9. peno hasegawa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Badala ya kukinga watanzania wasipate maradhi nyie mnajikita kutiba magonjwa😂
  10. peno hasegawa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Mnajenga miradi ya kijamii Kwa mikopo ya world bank? Italipwa na nani na Kwa njia zipi?
  11. peno hasegawa

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Kama unaye mwanao ambaye ana check number isipokuwa wewe njoo PM. Nikupe donge nono
Back
Top Bottom