Search results

  1. NYAQ

    Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani. Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
  2. NYAQ

    NSSF mafao 33%

    Asee hii ni kimeo sana wadau, watu tutaishije wakat tulitegemea kupata mitaji kutoka kwenye mafao yetu !!!. Mtu nimekaa miezi 18 bila ajira, nimeenda kufungua madai wakalipa 33% then nisubiri tena 18 month ndo niombe kulipwa yote. Daa NSSF mlaaniwe muwe na maisha magumu sana na mteseke
Back
Top Bottom