Search results

  1. NYAQ

    Kwanini hii Teua Tengua haikuwepo kwa akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Kikwete, ila kwa Magufuli ilikuwepo na sasa kwa Samia ndiyo imeshazoeleka?

    Afu wanao teuliwa ni circle ileile,hakuna sura mpya toka mtaani uradhan hakuna watu wengine wenye sifa. Wanatengua afu wanateuwa hao hao. Bure kabisa
  2. NYAQ

    Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Duuuu... ntakuwa siendi kariakoo
  3. NYAQ

    Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

    Daaah magu asingemzuia huyu mama,saiv na mimi ningekuwa na kina chief godlove na Chimakeke mtandaoni tunawaambia tokeni magetoni mkatafute hela
  4. NYAQ

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Poleni sana[emoji1787]ila iyo chenchi yenu sahau kabisa[emoji23]sio kwa serikali hii
  5. NYAQ

    Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Kwakwel hawa matajiri hasa wenye asili ya kiarabu huwa ni watesi sana wa wabongo, na watu wetu wa serikali wanawashonokea sana kisa wanapewa rushwa.. Magu tu ndo alowamidu hawa, tutazidi kunyanyasika sababu ya ulimbukeni na njaa za viongoz wetu
  6. NYAQ

    Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Nashauri wanawake wasiwe wagumu wakitongozwa, waachie papuchi kwa wingi ili mashoga wakose wafiraji. Ushoga utaisha kwa kufanya ivo.. wanawake hili lipo ndani ya uwezo wenu kabisa
  7. NYAQ

    Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

    Noma sana, mim at 30 nina lijumba gari na familia. Ila saiv at 35 sina mia mfukoni zaid ya pumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. NYAQ

    Ujumbe kwa Rais: Kama nigekuwa Waziri nisiye na Wizara

    Safi sana Waziri wasome hii. Kwa ground mambo ni magumu sana
  9. NYAQ

    Je, Magic Mushrooms ni halali hapa Tanzania?

    Uzi safi sana. Tuzidi Kupeana elimi
  10. NYAQ

    Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Design watu wanaupiga kwenye dustbin huu uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumeahtukia sifa za kimchongo
  11. NYAQ

    Chanzo cha kufanikiwa kwenye maisha ni bahati, connection, mipango au Mungu?

    Daaah, you said it all... wewe jamaa ni kichwa sana.
  12. NYAQ

    Jirani yangu kapoteza ufahamu gafla chooni ila ni mzima

    Kuthibiti hiyo unatakiwa usiamke usingizini na kusimama gafla . Ukifumbua macho tulia kwanza hata kwa sekunde 2 alafu simama Then ukienda kukojoa usikojoe moja kwa moja, kojoa kwa kukatisha. Thank me later
  13. NYAQ

    Naombeni adress za air Tanzania China

    Inaonesha wewe bado mgeni hujui hayo mambo Njoo dm tukusaidie kukupa agent, mambo hayapo ivo kama unabofikiria wewe
  14. NYAQ

    Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Ajira mpya nimekosa paka sasa, huenda ningepata mapema ingeokoa Amani ya nyumba, NSSF nao hawatoi mafao yetu yote labda ningepata mtaji mzur nikaokoa Amani ya familia yangu. Daah kweli kua uyaone
  15. NYAQ

    Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Asante sana kaka, bonge la wazo... nimehaso nae sana, saiv mambo yangu yaneenda mrama ananiona mzigo Siku nikitoboa tena hakuna rangi ataacha ona Qumamaq
  16. NYAQ

    Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Asante sana, Yan skuiz najibishwa hovyo, naonekana sio mwanaume. Daaah Kunamda nataman kumpasua nikaozee jela maana kujiua siwez
  17. NYAQ

    Ndoa ndoano, nimepoteza kipato mke wangu kaanza kunidharau

    Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani. Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
  18. NYAQ

    Wanaokataa Wamasai kuhamishwa wana ubinafsi mkubwa sana, siyo wazalendo

    Kwanin wasinge wajengea hizo nyumba pale pale kwenye eneo lao la asili
  19. NYAQ

    Hapa napigwa au?

    Kikubwa nilichojifunza hapa ni kwamba huna shule... kingreza chako kinathibitisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  20. NYAQ

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Asee pole sana kwa kuwa shoga, na kama unania ya kupambana na hizo hisia basi sikumoja utaweza na kuanza kuenjoy mbususu kama sisi wengine. Hao wanaoandika kwa hasira wapuuze, uneza kuta ni mashoga wenzio wamekumind ulivo andika uzi Or else ni mashoga watarajiwa, inasubiriwa catalyst tu waanze...
Back
Top Bottom