Search results

  1. Ennie

    Chakii amefiwa na dada yake

    Habari za mapumziko wana MMU!! Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi. Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame. Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu. =======================================
  2. Ennie

    Shukrani kwa wana JF

    Habari wana JF, Pokeeni shukrani zangu kwa kushiriki nami kwenye msiba wa mume wangu mpenzi (may his soul rest in eternal peace). Ahsante kwa JF - Arusha Wing na wote walionitia moyo na kuniombea. Mungu atawalipa.
  3. Ennie

    Niko njia panda

    Dada yangu alinitumia sms kuwa yu mjamzito nikaenda kumuona,nikajaribu kuhoji baba wa mtoto ni nani na kwa nini hawafungi ndoa? Akadai wanamipango hiyo. Juzi akanitumia sms kuwa jamaa ni mume wa mtu! Namchukia mwanaume yeyote anaye-cheat hata kama ni kaka yangu na dada anajua hilo. Nimemwambia...
  4. Ennie

    Nifanyeje?

    Nina miaka 7 kwenye ndoa na watoto wa2. Niligundua mume wangu ana cheat akakiri na kuomba radhi. Mwezi sasa sitaki anisemeshe kwa mapenzi au hata aniguse nakumbuka kilichotokea na naona na huko alikuwa anafanya hayo hayo. Naumia badala ya ku enjoy. Nifanyeje niweze ku respond normal kama zamani?
  5. Ennie

    Hellow Great Thinkers

    Tangu July 2010 nimekuwa nikipita na ku-view as a guest ila sasa nimekuja kama member,naomba mnipokee.
Back
Top Bottom