Tatizo hilo si kwa wanaokosea tu,nilituma pesa kwa mtu msg akaipata lakini pesa haikuingia,akawapigia tigo wakamwambia imerudishwa kwa aliyeituma.
Nimewapigia simu wananiambia itarudishwa kwangu,nimesubiri mpaka Nimechoka nikaenda kwenye ofc zao wakadai wamerudisha zitaingia baada ya 24...
Umezaa na mtu,kwenye family nzima Unamjua yeye tu!!!
Mtoto ameshapata Baba huyo.
Ushauri:
Ukipata bint mwingine mkapanga kuzaa bila ndoa basi at least ufahamike kwao naye afahamike kwenu maana Kuna leo na kesho.
Huyo uliyezaa na nesi kama kwa simu imeshindikana kumpata Nenda mkoa anakofanyia...
Mtoa mada anaishi 90's.
Bint ambae maisha yake ni mitandaoni Hata aki conceive ata update picha ya kitumbo kila akitoka clinic.
Wasioweka then waje waweke ya mtoto ni wale ambao bado wanaimani kuwa si vizuri kutambia uwepo wa mimba.
Wa kushangaliwa hapa ni wewe wala si huyo bint.
Ungemwambia humpendi wala asingefika huko alikofika.
Mkiwa wote unajidai umekufa umeoza uko tayari kumuoa hata kesho tatizo wallet haioneshi ushirikiano. Bint anakusaidia ku solve Unamshangaa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.