Search results

  1. kirumbiu

    Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

    Mbona hao wameleta unga was uni watoto wametumia Mika mama huo unga wa uji wamechanganya Mila kitu sukari maziwa Kila kitu huwezi pikia ugali na huo Michele umewekwa ladhaa ga nyama Kila kiungo unachemsha nakuweka mafuta basi wanatujua wabongo wasipofanya hivyo hautafikia walengwa Mika ya...
  2. kirumbiu

    Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Tatizo uislamu unawasumbua kwenye mkataba huu sijaona mwislamu anaupinga there something hidden
  3. kirumbiu

    Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Kwani Kodi ya bidhaa anatoza bandari au TRA? Na msamaha utolewa na serikali siyo bandari hata waislamu hupitisha kwa msamaha pia dini zote
  4. kirumbiu

    Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Mbona mawenzi hospital siyo mbali na kcmc kinachowanyima kufanya mawenzi au mountmeru kuwa rufaa maasikofu wapo kwa ajili ya jamii yote iwezekuwa na afya njema wanabuni na kuumiza kichwa serikali inamwezesha aliyedhubutu mashehe wanapenda upendeleo wa Bure hayo mahospital wanajenga waumini hata...
  5. kirumbiu

    John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

    Hivi lini ccm wamechapisha ruzuku yao wanaopata serikalini? Kwamaana ndiyo kinapokea ruzuku kubwa
  6. kirumbiu

    Gerson Msigwa: Mpaka sasa hatujapata muwekezaji wa Bandari, akipatikana tutawajulisha

    Mimi naona serikali ilikosea kuanzisha sekondari kila kata matokeo yake ni haya wengi Sasa wanaelewa mambo kiongozi wa serikali anawadanganya hivi watanzania bungeni walipitisha Nini spika wa bunge anasema ni makubaliano wanasheria mahakama kuu wanakiri ni mkataba sasa tujuwe lipi na je lini...
  7. kirumbiu

    Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Hatujakataa mwekezaji Wala hatuna shaka na Dp world sisi serikali irekebishe mkataba mwekezaji afanye KAZI ila tatizo la mizigo kuwama bandarini liko TRA na mabenk kufanya kazi mwisho saa kumi hata hao Dp wakishusha meli Tano kwa siku shida Iko pale pale barabara vinyuu Boda zetu mfano tunduma...
  8. kirumbiu

    Picha: Mkutano wa Rais Samia Mwanza wahudhuriwa na watu wachache

    Njiani yawekwe mahema au hujaona maandalizi
  9. kirumbiu

    Wanunuzi wa vyakula kutoka nje ya nchi watumie dola kununua vyakula kutoka katika maghala ya serikali

    Hoja yangu kuwa waje na dola lakini hasiruhusiwe kutumia Dola abadilishe Dola ananuliye tshs
  10. kirumbiu

    Wanunuzi wa vyakula kutoka nje ya nchi watumie dola kununua vyakula kutoka katika maghala ya serikali

    Ndugu ili pesa Yako iwe na dhamani usiruhusu nchini kwako matumizi ya pesa za kigeni wageni waje na pesa zao lakini wakitaka kufanya malipo wanunuwe kwanza pesa zetu au walipe Kodi kwa pesa zetu na sisi TU export raw materials nje hapo ndipo pesa yako na uchumi wako unakuwa na kikubwa zaidi...
  11. kirumbiu

    TANESCO yasaini mkataba wa kuzalisha Umeme Jua MW 150 Kwa Bilioni 275. Waziri Makamba apiga marufuku mauziano ya Umeme kwa Dola

    Unadhani mgt 2100 ni nyingi Kwa viwanda vikubwa? Kuna viwanda vya kuzalisha vyuma vinahitaji mgt 3500 kwa nchi kama ya kwetu ili tuwe na viwanda vikubwa tuwe na mgt 10000 mpaka 35000 ndiyo tutaweza hata kuuza umeme mkubwa
  12. kirumbiu

    Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Mulongo sisi ndiyo tunavuka kwao kwamaana tufata bidhaa
  13. kirumbiu

    Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Ni pahovyo kweli upande wa Tanzania ila Kwa wenzetu wako vizuri maduka yamejaa kama kkoo upande wetu hakuna chochote Nyumba za wanakijiji tu
  14. kirumbiu

    Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Ila game reserve upo upande wa Tanzania ukishapita mulongo custom watu wanavuka vizuri upande wa Uganda maduka makubwa na wenyeji ndiyo wengi na Barbara za lami wao sisi vumbi wenzetu wametupita parefu mkuu
  15. kirumbiu

    Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Ule mradi sisi tunafaidi kikubwa kwa maana mto sehemu kubwa maji yamelalia Uganda maporomoko yapo Uganda sehemu yetu kidogo sana na hujui mto kagera vizuri ule mto umekaa Uganda kikubwa kwetu umekuja kuingia Tanzania kidogo alafu kule mwisho ziwa Victoria mto umemwaga maji upande wa uganda ila...
  16. kirumbiu

    Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Ni ndogo sana mto kagera umegawa boda alafu game reserves zimechukuwa eneo kubwa upande uganda ndiyo kumechangamka
  17. kirumbiu

    Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Nimeishi pale murongo kwakweli wanakijiji watanufaika I'la hapo hapo wenzetu Uganda mtambo wao nimkubwa walituwahi kutangulia kujenga kwakuwa uzalishaji umeweka jirani jirani lingekuwa sisi wenyewe tungepata kv nyingi
Back
Top Bottom