Kizzo Gunz, alikuwa kati wa waasisi wa JamiiForums wakati ule tunaita JamboForums. Alikuwepo sana hapa.
Lala salama Franklin Ndosi aka Kizzo Gunz. Pumzika sasa, na lala Salama. Amina.
My thoughts go out to the family--know that you have my greatest sympathy, and my heart is truly saddened. My sincere thoughts and prayers are with you.
Pumzika kwa amani Mzee Maira.
Naumia - Jose Chameleone
Uliniambia Umechoka Kukaa Nyumbani
Unataka Kutafuta Kazi ya Kufanya
Nilikubali, Nilikutafutia Kazi
Sasa Nasikia Vibaya Rohoni,
Mbona Unarudi usiku Nyumbani?
Nielezee Nijue kwanini
Labda Umepata Mwingine Kazini,
Anakuchelewesha kurudi Nyumbani
Naumia...
Hapana, Air Tanzania isingekuwa hewani.
Kampuni ya kitaifa (TCAA) ndio haswa lilianza kusitisha usafiri wa anga ndani na nje ya Tanzania kabla ya shirika la kimataifa (IATA.) Kwahiyo hata kama IATA isingetia neno la ku ground ndege zetu, bado Air Tanzania ingekuwa grounded!
I think a...
Hakuna confirmation hearing, na hivi, hata hiyo Board of Directors kazi yao nini? Hawawi involved na recommendations za maamuzi kama haya ? Au Rais yeye ana bypass tu, executive decision manake.
Kwa vile Rais anajua rekodi ya Mattaka (siwezi amini hajui,) anachotueleza hapa ni kuwa, hata...
Ona sasa, ashasahau hata jana kasema nini, anazunguka tuu, kiongozi gani huyu.
Pamoja na matatizo yote ya ATCL, bado sielewi ni vigezo gani vilitumika kumpa David Matakka jukumu la kuendesha ATCL. Hana rekodi nzuri ya kazi huyu. Alisimamishwa kazi PPF kwa kashfa ya kuhujumu shirika. Yeye...
Sasa zimesitishwa au hazijasitishwa, which is which?
Regardless, faults 500 ni nyingi sana, hii ni hatari sana!
Wataalamu mliosomea urubani na hasa wahandisi popote mlipo nje na ndani ya Tanzania, natoa wito, tafadhalini, nendeni mka salvage ATCL.
EEhh,
Kwanza habari za jikoni kamueleze mkeo, au aliyekuleta duniani, si mimi, tena shika na adabu yako.
Pili, you obviously have no clue what you are talking about. Nenda kaangalie stats za graduates na rate za unemployment, better yet, people who are not working on their fields then tuje...
Kuwa naye ndio nini, tehe tehe...eti nilimpeleka airport, so what? Unachekesha kweli wewe.
Sasa kwa taarifa yako, haya maneno yametoka kwake Masha mwenyewe. Obviously uhusiano wenu(if any) ulikuwa ndio huo wa wewe kumuendesha kumpeleka kwenye mitihani, playground, na airport...lakini vitu...
Masha hakufanya kazi WB and I highly doubt alikuwa na offer, otherwise asingeondoka US. Ukweli ni kuwa, Masha alikuwa hapati professional job wakati akiwa US, ndio sababu hasa ya yeye kuamua kurudi Tanzania.
Ulipata kazi ya udereva ukiwa US na una green card, unaweza kufanya kazi kwa kutumia...
OJ hakupata fair trial, hii kesi ilitakiwa ifanyike mbali sana na west coast. Whether he is truly guilty or not, I will never know!
There were lots of emotions involved (for obvious reasons) which clouded the matter. The mere fact this is OJ Simpson, compromised their judgment!
Asante Mwawado. Unajua, najua for a fact huyu hakwenda na Serikali ni mwajiri wake wa kwanza na wa mwisho. Ndio maana nikauliza, ina wezekana kulikuwa na sababu, exceptions labda kama una kilema, magonjwa ? Sijui. Sijawahi kumuuliza kwa sababu, sikuwahi (to this day) kufikiria walakini katika...
Mimi nadhani kuna haja ya (kama ni lazima) kujua kulikuwa na exceptions gani ambazo ziliwa ruhusu wengine kuingia UD bila ya kwenda JKT. Nasema hivi kwa sababu nina mfano halisi wa mtu ambaye aliingia UD miaka ya 70 akiwa ni raia mtakatifu wa Jamhuri ya Muungano na JKT hakuiona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.