Search results

  1. isaacsendama

    DDD kwa combination ya HGE

    Habar zenu wakuu? Hvi kwel naweza kwenda kusoma Udsm kwa dv 2 ya 12 especially coz ya Bachelor of Science in Agricultural and natural resources economics and business administration?
  2. isaacsendama

    MSAADA KWA COMBINATION YA HGE

    Naomba kufaham ni course gan naweza kusoma inayoendana na hyo comb ya HGE?msaada kwenu jamen niko njia panda kbsa, ushauri wenu ni muhmu sana kwangu kwani utanifnya kuwa na chaguo zuri
  3. isaacsendama

    NAOMBA UFAFANUZI WA HII COURSE "AGRICULTURE AND NATURAL RESOURCES ECONOMICS AND BUSNESS

    Kwema jamen,naomba ufafnuz wa hyo program juu ,mm ni mhitim wa kdto cha sita kwa mchepuo wa HGE ,hvyo ningependa kujua ukisomea hyo program unaweza ukafnya kazi gani zaid zinazohusiana na hyo program?
  4. isaacsendama

    Je kwa wale walio risit mthan wa kidto cha nne kuna uwezekano wa kupata mkopo?

    Habar zenu wana jf,naomba kuelimishwa juu ya hyo mada hapo juu,mm nilishawah kurist mthan wa kdato cha nne mwka 2016 kwa lengo la kutaft credit(C) mbili za kuendlea na advance,Nashkuru mungu hzo C nilizipa cuz nilifnya masomo 6 yote ya art nikawa nimepta C 3 na D 3 pia lakin kwnye chet cha...
Back
Top Bottom