Search results

  1. M

    Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

    Na liwe fundisho kwa madada wengine, kuwa muda ni kitu muhimu sana, anza maisha wakati upo juu, lakini wengi wenu mnaamua kujirusha mpaka mnaanguka. Pole dada Ray endelea kutafuta unaweza kumpata.
  2. M

    Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

    Jamani viongozi na wanachama wa chadema naona sasa mmeanza kulewa madaraka na sifa. Kumbukeni kuwa wananchi wengi wanamatumaini na chama hichi kama ndio mkombozi wao wa kweli. Lakini hebu ona kila siku vurugu na shutuma wenyewe kwa wenyewe. Tafadhali sana hebu fikirieni ilipo NCCR na CUF ambapo...
  3. M

    Taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu (THBUB): Mauaji ya Mwangosi

    Ulitegamea nini? Utamsaliti baba yako anayekulisha? Tido kilikuwa kichwa tbc mtamkosa sanaaa ktk ushindani wa press.
  4. M

    Zitto Kabwe, Hashim Rungwe na Kafulila Waanzisha Chama Kipya cha Siasa - CHAUMA

    Kama ni kweli hii ndio sababu kubwa ambayo vyama vya upinzani havitakuja kushika dola. Utitiri wa vyama kibao!
  5. M

    Askari wa selious game aua mwanafunzi

    Wana jamii hv kweli hii ni sawa kwa askari wa selous game kuua mwanafunzi aliyekuwa anavua samaki ndani ya hifadhi?
  6. M

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Mimi sielewi kwanini lazima tuhesabu watu kwa kufahamu dini zao. Kwani hilo la dini linahusina nini na lina tija gani katika sensa ya taifa?!
  7. M

    Seif al islam

    Seif al Islam ni mtoto wa kiongozi wa Libya aliyepinduliwa. Kijana huyu alikamatwa na wapiganaji wa koo na kukabidhiwa kwa majeshi ya serikali ya mpito ya Libya. Tangu akamatwe kijana huyu takribani mwaka mmoja sasa hajafikishwa mahakamani wala kufunguliwa mashitaka. Anateswa sana gerezani kwa...
  8. M

    Video: Karume, Okello na Babu pamoja masaa baada ya Mapinduzi - Wasikilize mwenyewe

    Kumbe na Okello alikuwepo kwenye mapinduzi ya znz, lakini mbona hatajwi wala kuenziwa?
  9. M

    Uamsho+Ukristo+Muungano

    Nimekaa kimya kwa muda mrefu nikiwaza kilichotokea hivi majuzi huko kisiwani Unguja. Najiuliza hivi Wakristo wa visiwani wana makosa gani hadi kuchomewa nyumba zao huko ZNZ? Yaani muungano na Ukristo vina mahusiano gani? Lakini yote kwa yote nahisi hizi ni kero za muungano. Wazee wa Uamsho...
  10. M

    Yes madam Speaker, We are stupid!

    Ndio wameamua kuongeza posho za wabunge! lakini madaktari big NO!. Da nchi yetu bwana sijui inakwenda wapi. Rais anasema kuwa watumie busara ila anafahamu kuwa kuna haja ya kuongeza posho. Swali ni je kama anafahamu kuna umuhimu wa kupanda kwa posho kwanini anagoma kusaini? wenye akili zetu...
  11. M

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Hongera sana MH LEMA kwa maoni yako mazuri kuhusu D KAFULILA kufukuzwa chama. Kwakweli hakuna jambo la msingi kama nidha
  12. M

    Rais Jakaya Kikwete aanikwa...

    Kama ni kweli basi nani nani ni msafi nchini kwetu? Hata yeye!
  13. M

    Maskini Rostam!

    Yaani kweli ukipenda basi pengo utaita mwanya, huyo mara myuambie ni fisadi mmemvua gamba hapo hapo tena amekuwa mzuri kwenye kampeni, haya bwana labda na wewe ndio wale wale.
  14. M

    Maskini Rostam!

    Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi ujue awe tayari kufa, kufilisika au kukimbia nchi maisha yake yote ambayo wana kijani watakuwa...
  15. M

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Yes hakuna ubishi kabisa lakini ni nani ambaye si mkosaji na aanze kumpiga jiwe mwanamke huyu mzinzi? Kila mtu na dhambi lakini na tupime mabaya na mzauri yapi yatakuwa zaidi?
  16. M

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mzee Man Wameshinda kwa bahati san bao 3 bila. La kwanza lmefungwa na David Wallback, la pili na Underson na bao la tatu na Wayne Rooney. Kama jamaa wasingeogopa jina la timu basi leo Man wangeangukia pua kwa kipigao cha mbwa mwizi. Lakini bado ligi ni changa kabisa Arsenal tusihofu ubingwa ni...
  17. M

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Hatimaye leo duinia inaamka na kushuhudia shujaa wa Africa colonel Gaddaf akitolewa Madarakani. Lakini hebu na tujiulize kwanini shujaa huyu aliyekuwa mstari wa mbele kutetea bara la Africa akiungushwa kwa aibu hii. 1: Kwanza lawama zangu ziwaendee viongozi wa bara la Africa AU. viongozi wetu...
  18. M

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Hatimaye leo duinia inaamka na kushuhudia shujaa wa Africa colonel Gaddaf akitolewa Madarakani. Lakini hebu na tujiulize kwanini shujaa huyu aliyekuwa mstari wa mbele kutetea bara la Africa akiungushwa kwa aibu hii. 1: Kwanza lawama zangu ziwaendee viongozi wa bara la Africa AU. viongozi wetu...
  19. M

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    Namuonea huruma sana huyu ndugu yetu Nape. Kwanza yeye mwenyewe alikiwa kinara wa kuiponda CCM. Lakini alipopewa madaraka tu akazibwa mdomo. Hiyo inatuonyesha wanamapinduzi kuwa yeye shida yake kubwa ni cheo wala si mtetezi wa kweli wa Watanzania.
  20. M

    Msaidieni huyu ndugu kujibu hilo swali

    Wananchi sasa wamepata muamko wa kisiasa tofauti na zamani zile. Wengi wamekatishwa na tamaa ya serikali ya sasa kwani inajali wachache na wengi wanaachwa katika mataa. Yaanu sasa wanatafuta chama ambacho wanadhni kitakuwa ndio mkombozi wao. Na kwa ukweli kwa sasa hakuna chama kingine zaidi ya...
Back
Top Bottom