Search results

  1. KARIA

    Dkt. Kalemani tunaomba imulike TANESCO jiji la Mbeya rushwa imezidi kuunganishiwa umeme

    Hili ni tatizo kubwa mno kwa Tanesco, nimeomba savior handeni tangu mwezi wa tatu mpaka leo hajaja.
  2. KARIA

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Siku ya tatu leo kimya na hakuna taarifa yeyote.
  3. KARIA

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tangu jana mchana mpaka sasa Yombo vituka lumo hakuna umeme na hata namba ya dharula haipatikani!
  4. KARIA

    Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

    Naomba kujua bei ya X2
  5. KARIA

    Mwenzenu nimeukata!

    Ushinde UK unatumiwa msg na Halotel! Shuka utakatika kweli.
  6. KARIA

    Jina lako la kichawi

    Transcendent craft Sent using Jamii Forums mobile app
  7. KARIA

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimeomba saveaTanesco tangu tarehe 17.3. Mkoani Kilimanjaro cha ajabu mpaka leo savea hajafika! Nilikuwa likizo mpaka likizo lmekwisha hakuna kitu kila ukienda unaambiwa tunakuja!
  8. KARIA

    Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    Vita Imana- Wenge Musica.
  9. KARIA

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Tax refand kwa wafanyakazi.
  10. KARIA

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Pole na majukumu. Mheshimiwa rais, binafsi nimefarijika na utendaji wako kwa muda huu mchache ukiwa madarakani. Ushauri wangu kwako naona itakuwa ni vyema kwako ukaanzisha account kwenye mitandao ya kijamii na iwe wazi kwa wananchi ili upate yanayojiri na ushauri pia kutoka kwa wananchi wako...
  11. KARIA

    Pata mkopo wa matractor na zana za kilimo kwa masharti nafuu

    Mbona hata simu haipatikani.
  12. KARIA

    Dr. Remmy Ongala alikuwa mwanaharakati

    Nasikitika eeh! huu wimbo una mafundisho.
  13. KARIA

    Leo nimeamini Uswazi kuna Great Thinkers wa ukweli

    Kipindi kinarudiwa saa ngapi wapendwa?
  14. KARIA

    666-nyayo za kuzimü

    Nimeipenda.
  15. KARIA

    Habari mbaya kwa wale wanaotumia dawa za sumu za kizungu diclopa na diclophenac

    Mazoezi hasa ya baiskeli. Na nimeshauriwa kula sana makongoro.
  16. KARIA

    Habari mbaya kwa wale wanaotumia dawa za sumu za kizungu diclopa na diclophenac

    Nimeumia maana tangu 27 march nazitumia baada ya kuumia mguu lakini bado nasikia maumivu! Na nahisi ukavu kwenye magoti. Nashukuru sana kwa taarifa hii! Kuanzia leo situmii tena.
  17. KARIA

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Mbele hakuchezi nyuma hakutikisiki!
  18. KARIA

    Hadithi ya kusisimua: Mkataba wa siri - 3

    Saafii!kesho mbona mbali!
Back
Top Bottom