Search results

  1. T

    Kero: Nyimbo za dini sehemu za kazi

    Hakuna mtu anaependa kilakitu, usicho penda wewe kunawatu wanakipenda we panda gari ukisikianyimbo ambayo huipendi we piga mluzi.
  2. T

    Hebu tizama kwa makini uniambie marehemu alikuwa speed ngapi!!!!

    Na tope lilikuwa laini kiasi gani?
  3. T

    Urafiki wa Kagame na Magufuli umeanzia wapi?

    Mhmmm, mambo mengine jamani tuwe tuna suburi muda uongee wajameni.
  4. T

    Mnigeria akamatwa na dawa za kulevya JNIA

    Hawa wauza madawa nao ni janga kubwa sana katika taifaletu nashauri wakidhibitika wa hukumiwe harakaharaka.
  5. T

    Rais Magufuli na mfumo Kristo

    Daaah nimesomaweeeee nimeshindwa kumaliza ngoja ntamalizia usiku wakati natafuta usingizi.
  6. T

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Dkt. Antony Gervase Mbassa afariki dunia

    R.I.P Mungu awape moyo mkuu familia ya marehem katika kipindi hiki kigumu.
  7. T

    Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

    Nimeipenda hii sentence ya kuwakamata harakaharaka Mijambazi ina boa sana watu tuna amka saa 4:30 alfajiri kutafuta maisha alafu lijitu linakuvizia getini lina kupora na saazingine yana ua kabisa, wacha ya nyang'anye bunduki harakaharakatu, tena kwa mwendo kasi.
  8. T

    Waziri wa Afya asitisha zoezi la utoaji chakula Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Itakuwaje kwa wagonjwa ambao hawana ndugu wa kuwapa chakula, tafadhali jamani njaa pia niugonjwa. Zoezi hili liangaliwe kwa kina linaweza kuathiri baadhi ya wagonjwa.
  9. T

    Mwana JamiiForums, umewahi kukumbwa na aibu gani? Mimi ni hii

    Leo hii hii nilikuwa natoka home naelekea job nikipitia daraja la kigamboni , baada ya kuvuka tu kwa mbele kidogo mida ya saa 06:9 hivi asubuhi, palikuwa na watu kadhaa wanatembea kwa miguu. Niliwapita na mbele kidogo tena nika muona mtoto mmoja hivi mwanafunzi na kavaa flana yake ya bluu, nika...
  10. T

    Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    Alimuuliza mkewake kwa haaira, Why every day when a'm getting in da house" his is going out. Nimaneno ya jamaa mmoja katika move flani hivi, jamaa alikuwa na mtoto wa kambo sasa kwa vitendo vyake yule mtoto aliamua kutoka nje au kwenda chumbani kwake Mara tu yule dingi alipokuwa anaingia...
  11. T

    JWTZ Wakanusha taarifa za kuibiwa Kifaru

    Lamda habari ilitiwa sukali.
  12. T

    Naomba kujuzwa juu ya Basi zuri na nauli kwenda Songea

    Unaomba ( mwingozo?????) ua mwongozo!!. je? wewe ni mmatengo,au mndendeule?.
  13. T

    CUF kufanya maandamano kushinikiza Lipumba kupewa uenyekiti

    Kunadhambi ambazo mtu anaweza kusamehewa lakini sio usaliti.
  14. T

    Swali la msingi: Je madhara ya simu feki kwanini serikali ilinyamaza miaka yote?

    Maswali magumu sana muulizaji. Labda majibu yata kuwa hivi!!!. aa' ooh yaah, hatukufanya risk assessment before, aa, ok that 's the answer, and sorry for that. Mnyonge hana haki.
Back
Top Bottom