Search results

  1. Robidinyo

    CAF yafungua usajili wa muda mfupi kwa timu zilizoingia robo fainali

    CAF imefungua usajili kwa timu zilizoingia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho ili kufanya mabadiliko kwenye vikosi vyao. Timu zote zinaweza kuingiza majina ya Wachezaji wapya ili kuchukua nafasi ya wachezaji walioondoka kwenye klabu.
  2. Robidinyo

    Key player wa Al Ahly Kuikosa Mechi dhidi ya Simba

    Takribani Wachezaji wa 4 wa Al Ahly kuikosa mechi ya mnyama mkali kwa mkapa, Wachezaji hao ni Al shahat Ashour Dieng Yesser Ibrahim Unaambiwa Bench la Ufundi la Ahly limechanganyikiwa, wanasema kuikabili simba kwa mkapa hasa ukiwa hauna key player ni ngumu sana,hasa wakivikumbuka vipigo vya...
  3. Robidinyo

    Robo fainali CAFCL Kickoff time

    Robo fainali CAFCL Kickoff time Yanga SC Vs Mamelodi 30 Machi,2024 Jumamosi saa 3:00 usiku BENJAMIN MKAPA. Hii maana yake Simba SC Vs Ahly itakuwa tarehe 29 Machi, 2024 Ijumaa saa 3:00 Usiku pia.
  4. Robidinyo

    Mamelodi waahidi Kuishushia Yanga kipigo Kizito ili kujikusanyia point wafuzu klabu bingwa dunia

    Mamelodi Sundowns wanasema lengo lao sio kufuzu bali kuipiga Yanga 'nje ndani kwa kipigo kizito' ili kukusanya pointi za kujihakikishia kufuzu Klabu Bingwa Duniani. Masandawana wamedhamiria kuwadhalilisha majini SC
  5. Robidinyo

    Nashauri Jose Luís Miquissone Aombe atolewe kwa Mkopo

    Nashauri uongozi wa mchezaji Luís Miquissone Uuombe uongozi Wa Simba Umtoe mchezahi huyo kwa mkopo kwa timu zisizo na presha. mfano Namungo,Singida FG,Kmc na Nyinginezo zinazoweza kumpa dk nyingi Uwanjani ajitafute mpaka Mwisho wa Msimu Kwa presha ya matokeo na Mwenendo wa Timu ya Simba Sc...
  6. Robidinyo

    Wizara ya michezo yavifungia Viwanja vya Uhuru na Mkapa

    Baada ya TFF kukifugia Kiwanja cha Uhuru Wizara pia imekifungia Kiwanja cha Mkapa Kwa maoni yangu kinachotafutwa hapa ni kuhamishia Mechi katika dimba Amani Zanzibar ili kumfurahisha Rais Samia, usishangae mechi za ligi na za kimataifa zikahamishiwa huko.
  7. Robidinyo

    Baada ya Chakula Cha Leo Usiku,tutaesabu siku Chache Fei Toto atakua huru

    Leo Eng magumashi, eng uchwara eng miyeyusho anaenda kukalipiwa, Kwanini unamnyanyasa dogo, hawataki unamganganiaje, kwani ni kiasi gani muache acheze masebene anakokutaka,. Sasa apinge na ashupaze shingo, amuulize malinzi alifanzwa kitu gani.. haipendezi timu kubwa kama hii, mnakuwa na...
  8. Robidinyo

    Yanga Na Kashifa Ya Kupulizia Wapinzani Sumu Vyumbani USMA wawashitaki CAF

    Yanga wameshitakiwa tena CAF, mara hii mlalamikaji ni klabu USM Alger ambao walishinda 2-1 juzi jumapili. Msimu huu Yanga inashitakiwa mara ya 3 baada ya Club Africaine na Rivers United kulalamikia vitendo vya kupuliza dawa inayosadikiwa kuwa sumu dressing room Mara ya kwanza Yanga...
  9. Robidinyo

    Wazee Wa Kataa Ndoa Waendelea Kuupiga Mwingi.

    Mwanaume mmoja raia wa Zambia Arnod Masuka ameiomba mahakama nchini humo kumpa talaka ili atengane na mke wake kwa kile alichoeleza kuwa urembo wa mke wake unamfanya aishi kwa wasiwasi. Ameiambia mahakama kuwa urembo wa mke wake Hilda Mleya unamfanya asipate usingizi kwa hofu ya kumpoteza kwa...
  10. Robidinyo

    USM ALGER ni Wagumu Sana Kwenye Uwanja Wao Wa Nyumbani

    Niwakumbushe tu Wana utopolo katika michuano hii ya luza USM hawajapoteza mchezo wowote nyumbani kwao, Na kingine timu yoyote iliyotembelea pale kwao imekula kuanzia goli 2 na ni timu moja tu iliyopata goli, yaani USM wameruhusu goli moja tu toka mwanzo mwa michuano hii Mjipange vizuri...
  11. Robidinyo

    Nabi na Viongozi wa Yanga wanapong'ang'ania Fei Toto asiondoke Wanajua Aziz Ki hatoshi

    Kocha nabi ndo mtu anaeshinikiza kwa nguvu zote kutokuondoka kwa Feisal, anajua uwezo wa Fei na anajua umuhimubwake ndani ya kikosi na anajua hakuna mchezaji anaefikia nusu ya uwezo wa fei kwa nafasi anazocheza. Mashabiki wa utopolo acheni kumtukana fei na kumkejeli Kama msimu mzima mlikua...
  12. Robidinyo

    Ni Kwanini Watoto Mapacha (Kulwa&Dotto)Mmoja anakua na A.K.A na Mwingine asiwe Nayo?

    Wanapozaliwa Watoto mapacha mkubwa uitwa Kulwa na mdogo Uitwa Dotto, huyu dotto automatically uitwa Doi Hili Doi lilitokana na nini? Wajuvi mtujuze
  13. Robidinyo

    Simba ilishalipa Tsh. Bilioni 1.1 bonus za wachezaji, inadaiwa Tsh. Milioni 20 tu

    Anasema CEO wa Simba, Imani Kajura; "Timu yetu imeshatoa Bonus zaidi ya Billion 1.1 na kiasi kilichobaki ni milioni 20 pekee tena ni Bonus ya Ligi ya ndani, wewe vuta picha Klabu inalipa zaidi ya Billion 1.1 inashindwaje kulipa milioni 20 haingii akilini hilo ni jambo linalopitia mchakato wa...
  14. Robidinyo

    Marumo Gallants walipowasili asubui hii walikataa basi waliloandaliwa na wenyeji wao

    Timu ya Marumo kutoka A. Kusini imewasili Asubui ya leo, na wamelikataa gari waliloandaliwa na wenyeji wao Yanga. Ikumbukwe siku chache mwenyej kapigwa faini kwa kosa la kupulizia sumu kweny gari la mgeni, pamoja na kukwapua kiasi cha fedha zilizokuwamo kwenye gari ilo, halafu unafika unapewa...
  15. Robidinyo

    Akpan na Okwa Wagoma Kuondoka Simba SC

    Akpan na okwa wamegoma kuondoka, hivyo hakuna nafasi ya kuongeza mchezaji wa kigeni Akpan aliambiwa arudi kwenye timu yake ya zamani kwa mkopo, amegoma nakusema anabaki kupambania namba la sivyo avunjiwe mkataba. Okwa nae anadai abaki au avunjiwe mkataba na apewe stahiki zake zote isipungue...
  16. Robidinyo

    Mo Dewji: Usajili umefika pazuri

    Umeipokea kauli hii ukiwa wapi ndugu Wana utopolo?
  17. Robidinyo

    Roberto Oliveira Aachana na Vipers, Kutua Simba

    Roberto Oliveira ndie Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, ameagana rasmi na Vipers! Muda wowote atatangazwa kuwa Kocha wa Simba.
  18. Robidinyo

    Ni App Gani Inaweza kukata Wimbo/Nyimbo

    Nataka nikate Wimbo kuanzia Sekunde ya 40 mpaka Dakiki 1:20 Ni app gani nzuri ya kufanya hivyo?
  19. Robidinyo

    Wabongo tupunguze kukopanakopana hasa sisi wenye maisha ya chini

    Wabongo tupunguze kukopanakopana hasa sisi wenye maisha ya chini Mtu umefungua kabiashara kako mtaji umeunga unga na biashara yenyewe bado haijasimama unajikongoja, wabongo wakishaona kamechangamka kidogo, wanaanza kuja kukupiga mizinga midogo midogo, oooh nikopeshe buku ten,nikopeshe buku...
  20. Robidinyo

    TANESCO kama kuna mgao wa umeme Mwanza mtangaze wananchi tujue

    TANESCO Juzi mlitoa tangazo la katizo la umeme tarehe 14/8/2022 siku ya Jumapili ambayo ni kesho kwa ajili ya matengenezo. Cha ajabu kutoka juzi tarehe 11 baadhi ya maeneo katika jiji la Mwanza mmekua mkikata umeme kuanzia asubui na mnaurudisha jioni. Eneo nililopo leo ni siku ya tatu mfululizo...
Back
Top Bottom