Search results

  1. M

    Maneno haya ya mheshimiwa Lissu ni upotoshaji wa wazi wazi

    Bila misaada chama chake kitakosa Ruzuku na wabunge watakosa salary matokeo yake hata yeye hataweza kuita waandishi na kuyasema haya kwani chama kitashindwa kumlipa hela za kuendesha kesi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Zitto Kabwe adai amenyetishwa na vyombo vya Usalama Bungeni kuwa atakamatwa kwa Uchochezi

    Ilisemekana amelala Bungeni kukwepa kukamatwa?!
  3. M

    Lowassa watajie CHADEMA mali unazomiliki

    Uko sawa CHADEMA ilipotea baada ya kumuuzia chama Lowasa!
  4. M

    CHADEMA mmejipiga chenga wenyewe jimbo la Sikonge Kwa kumteua Said Nkumba

    Siasa za tz ni kuganga njaa,hakuna cha demokrasia wala nini ndo maana kuna walioletwa wakati hawakuingia hata 3 bora!!!
  5. M

    Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Havai gwanda kwa sababu hana mapenzi ya dhati kwa chama bali anatimiza malengo yake!!
  6. M

    James Mbatia unajua leo ni siku ya 8 au umepoteza kumbukumbu?

    Ruttashobolwa Walirekbisha kwenye mkutano wa mwisho walisema atatangazwa tarehe 25Julai.
  7. M

    Picha: Jussa anena - 2/3 imekwama angalia mahesabu

    Viongozi wa dini kupitia Jukwaa la wakristo walionya mapema ila Sitta akawadharua kana kwamba hajui umuhimu wao kisa uchu wa madaraka. Na haya ni matunda ya KIBRI cha Sitta kwa Mungu,nahisi mwisho wa Sitta hautakuwa mzuri kwani kazidi kulididimiza taifa kwa kuteketeza mabilioni bila sababu kisa...
  8. M

    Ubaguzi CHADEMA waanza kumea mpaka kwenye UKAWA

    Watu was aina ya Mwanadiwani no janga kwa taifa.!! Hujui ukawa so chama wala hakina mapato yoyote?!! Viko vyama 3 na wamegawana maeneo kulingana na kukubalika kwa kila chama. Kila chama kinajigharamia ingawa lazima wajumbe kutoka kila chama wapo!! Kwa Dr Slaa anabebwa kwenye helicopter peke...
  9. M

    ITV mna agenda gani na Makonda na Bulembo?

    Napenda kujua kuna nini nyuma ya pazia kati ya Godfrey mtangazaji wa ITV na akina Makonda kwani tangu bunge la katiba lianze lazima awahoji karibu kila siku! Je wajumbe wengine hawaoni au wanakataa kuhojiwa?!
  10. M

    Wapi prof. Safari?

    Acha mzaha kwenye mambo ya msingi,kama siyo gwiji mbona kapangwa kwenye Kamati Kuu(technical)? Hulitendei haki jina lako!
  11. M

    Wapi prof. Safari?

    Ahsante sana Pasco kwa majibu yako ya ufasaha,nimekuelewa!
  12. M

    Wapi prof. Safari?

    Samahani wadau wa JF naulizia alipo gwiji wa sheria Mzee Safari kwani pamoja na kuteuliwa kushiriki kwenye bunge la katiba,sijawahi kumwona! Mwenye habari kamili atujuze.
  13. M

    Ni kina nani Viongozi wakuu wa ACT? ofisi zao Taifa zipo wapi kwasasa??

    Unasema ruzuku itakaguliwa,ipi au unadhani ukianzisha chama asubuhi jioni unapata ruzuku?! Kumbe lengo lenu ni kuibomoa CHADEMA?!!! Mpaka hapo mmechemka kwani CHADEMA ni zaidi ya Mbowe labda mshidane na Chausta,ppt maendeleo,adc na dp. Kibaya zaidi ofs mnaleta huku mza ambako ni ngome ya...
  14. M

    CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

    Kwa nini wamemtosa Senkala na kumleta Grace?!
  15. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Mbona husemi kata 2 za kiteto na Njombe mjini kwa Makinda?!
Back
Top Bottom