Rafiki, hii nchi ni masikini sababu asilimia kubwa wana IQ ndogo kutokana na kuzaliwa nyumbani badala ya hospitalini. Sasa mtu anatoa taarifa pamoja na ushahidi lakini mtu bado anabisha pasipo hata ku test ushahidi uliowekwa. Ni shida sana lakini ndio nchi yetu.
Rafiki, hii nchi ni masikini sababu asilimia kubwa wana IQ ndogo kutokana na kuzaliwa nyumbani badala ya hospitalini. Sasa mtu anatoa taarifa pamoja na ushahidi lakini mtu bado anabisha pasipo hata ku test ushahidi uliowekwa. Ni shida sana lakini ndio nchi yetu.
Kila hospitali inapojengwa huwa inakusudiwa kuwa na uwezo wa kulaza wagonjwa kadhaa, ambayo huwa inatajwa kwa idadi ya vitanda yaani bed capacity. Huwezo huu ndio huwa unatumika kudesign majengo na kujua idadi ya human power. Sasa ni wazi tu hapa suala la manesi kutosha itakua shida.
Na kama...
kaka uhuru wa kuongea kila mtu anao, lakini kwenye majukwaa makubwa kama hili ni vizuri ukajiribu kutumia uhuru wako kuongelea mambo unayoyafahamu japo kidogo, vinginevyo utaonekana darasa la saba au hujaenda darasani kabisa, kumbe pengine ni msomi wa levo ya degree.
Ngoja ni kuelimishe kidogo...
mkuu ni kweli, hospitali za private nazo zina haki ya kuwatumia madaktari waliopo, lakini ilitakiwa kuwe kuna ugumu kwa hizi hospitali kupata hawa madaktari, na hivyo zingekuwa zinalazimika kulipa mishahara mikubwa hili kuvutia madaktari.
Tatizo lililopo hapa ni kuwa, serikali inatumia nguvu na...
Sina uhakika na huo muda, lakini idadi yawezekana ni sahihi. Ni kweli kuna idadi kubwa ya madaktari waliomaliza mafunzo yao ya vitendo (internship) na wametelekezwa na wizara ya afya, na mbaya zaidi wengi wao wameanza kuingia mikataba na hospitali za privates baada ya kuisubiri wizara na kuona...
Lakini ndg zetu nao wapunguze pombe, wasome shule warudi nyumbani.
Kwa wale ambao hawajafanikiwa kuona taarifa iliyoripoti tukio hili, waweze tazama hii link.
kabla ya kusifia, kuna mambo mawili makubwa ya kuyatizama na kuyajadili
1. Selikali kuu imeamua kukopa fedha kutoka kwenye mashirika yake ya umma
2. Serikali imeamua kuyatoa mashirika yake ya umma kutunza fedha zao (savers) kwenye benki za biashara
mosi, nampongeza raisi Magufuli kugundua kuwa...
I think the article comprises more of the arguments than interpretations, and most of them sound logic. Rather than giving a simple answer as such, it is better to tell the forum why do you think the article is more of interpretations, then show to us how those interpretations sound more...
Hivi huko UDSM kila mtu akina senior lecturer anapewa u-professor ? Mbona naona utitiri wa maprofessor lakini wengi wao ni wakawaida sana, na yule mnamuita Dr Bana sijui, mmeshampa u-professor?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.