Search results

  1. G

    Wale waliofukuzwa na wengine kuhamishwa Tambaza Secondary 1993 mko wapi?

    Aisee mambo ya sikonzi kwa chai! Maisha yanasonga ingawa wanasambukile wengine baada ya pale ikawa ndiyo mwanzo wa kuharibikiwa na mpaka leo wanaishi maisha ya taabu,wengine tulikomaa hivyo hivyo hadi kuvaa majoho maisha yanasonga.
  2. G

    Wale wa Sengerema Secondary tujikumbushe

    Du! Mkuu hii ndiyo kwanza naipata Matu alishafariki Aisee! alikuwa Headmaster wangu mwaka wakati nipo o-level(RIP)
  3. G

    Wale wa Sengerema Secondary tujikumbushe

    Mwl.Kagua wa Physics siku hizi yupo Nsumba sijui Raphael a.k.a Msela siku hizi atakuwa wapi kuna wakati nilisikia akili zilifyatuka
  4. G

    Wale wa Sengerema Secondary tujikumbushe

    Áisee! Umenikumbusha mbali enzi za mzungu mweusi Igosha,Bwawani,Nyanchenche,Ibisabageni unamkumbuka mwalimu wa scout Willy, Sister Laura mwalimu wa Mathematics A-level, mimi nilikuwa bweni la Mirambo tukishamaliza kula chakula cha jioni mnachukua mpira wa basket hapo hapo uwanjani mnaunganisha...
  5. G

    Wale Minaki Mpo?

    Kulikuwa na mshikaji anaitwa George "BONGE" Alikuwa maarufu kwa kumeza mizigo kama ilivyo.Gupta kuna mtu anamkumbuka? nakumbuka aliingia mitini wakati wa NECTA.
Back
Top Bottom