Search results

  1. O

    Tunaogopa nini kuruhusu uraia pacha?

    Tatizo ni Zanzibar.. Ukiruhusu hilo .....watarudi
  2. O

    Asante wajumbe wa CCM wilaya ya Rorya: Magufuli tunaomba uturudishie Japhari Chege

    na Mwl Matete - MUST Nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Rorya kwa kazi kubwa waliofanya kutuletea mshindi ambaye kwa maoni yangu ni mtu sahihi kwa wakati huu. Kura ya maoni iliyofanyika wiki iliopita ni wazi kuwa hata wajumbe walichoka siasa...
  3. O

    Dhambi ya Ochelle kuwatukana watu wajinga wasiokuwa na akili haiwezi kumuacha salama na CCM yake

    Uteuzi wa Wenje kuiwakilisha ya CCM. Katika hali ya kushangaza tofauti na jadi ya CCM kujiamini lakin mwenyekiti wa Wilaya CCM ndugu Charles Ochele alikuwa mtu wa karibu na aliyenunua mamluki katka kufuatilia uteuzi wa Chadema Rorya uliokuwa na mvutano mkubwa kati ya Wenje na Owawa. Akiwa...
  4. O

    Uchaguzi 2020 Kura za maoni CCM-Rorya huenda ukawa ni wa ukabila/utarafa dhidi ya rushwa

    *KURA ZA MAONI CCM-RORYA: HUENDA UKAWA NI WA UKABILA/UTARAFA DHIDI YA RUSHWA* na Mwl. Chacha Matete Idara ya Elimu ya Ufundi - MUST Moja ya ahadi za mwana TANU ambazo mwana CCM anapaswa azifahamu ni ahadi namba nne (5) inayosema *rushwa ni adui wa haki, sitopokea wala kutoa rushwa*. Hii ahadi...
  5. O

    U-nyancha, U-suba, U-girango na U-luo-imbo unavyoitafuna jimbo la Rorya

    U-NYANCHA, U-SUBA, U-GIRANGO NA U-LUO-IMBO UNAVYOITAFUNA JIMBO LA RORYA Na, Mwl Chacha Matete Idara ya Elimu ya Ufundi- MUST Nianze kwa kumnukuu Baba wa TAifa Mwl. J.K. Nyerere akiongea na wafanyakazi katika sherehe za Siku ya Wafanyazi kitaifa mjini Mbeya 01/05/1995 katika uwanja wa Sokoine -...
  6. O

    Plot4Sale KIWANJA KINAUZWA-NYEBURU-Ilala Dsm

    Wasalaam Kiwanja kilichopimwa kinauzwa ,kiko NYEBURU Mita 800 kutoka barabara kuu ya lami kituo cha Italian (ukielekea Chanika upande wa kulia) SIFA ZAKE;kimepimwa kwa uzito wa chin LOW DENSITY 1800 square metres ,utaratibu wa hati uko hatua za mwisho,hakina mgogoro,kuna umeme na barabara ni...
  7. O

    Mpaka sasa madiwani 5 wamehama CHADEMA Arusha.

    Bujibuji you made my day.Your comment is remarkable Sent from my HUAWEI G730-U10 using JamiiForums mobile app
  8. O

    Mheshimiwa Mwita Waitara, kama unaona Ubunge unakutesa, si lazima usubiri 2020, achia mapema Ukonga

    Acha unafiki.fedha za mfuko wa jimbo zinafanya kaz sana.we sio mfuatiliaji.Usipotoshe umma kwa chuki zako binafsi
  9. O

    Mheshimiwa Mwita Waitara, kama unaona Ubunge unakutesa, si lazima usubiri 2020, achia mapema Ukonga

    Acha unafiki.fedha za mfuko wa jimbo zinafanya kaz sana.we sio mfuatiliaji.
  10. O

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Nakukumbushia tu ni Uhamiaji nao wamekurupuka.Mwaja Jana October Manji alijihudhuru kusimamia Quality Group. Tangazo kubwa aliweka kwa magazeti.nadhan hawasomi.mwajiri sio Manji.
  11. O

    Tutajikumbusha hapa baada ya Makonda kushindwa vibaya kwa Mara ya 8

    Ameonyesha Uthubutu.Acha kukatisha tamaa,Toa Ushauri na Ushirikiano.Wanaoumia ni Vijana wetu na Taifa la kesho. Wengi wameshindwa ,Makonda Kaonyesha Njia
  12. O

    Nataka kiwanja chenye hati Chanika mvuti au Mbagala Chamanzi

    Mwandikie Email moderator.
  13. O

    Nataka kiwanja chenye hati Chanika mvuti au Mbagala Chamanzi

    Weka namba au ni inbox mm ninacho,zingiziwa
  14. O

    Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Makame Mbarawa alichaguliwa kwenye uchaguz Wa marudio Zanzibar na akashinda.Mahanga ndo hana kumbukumbu
  15. O

    BVR: Uwezekano wa kujiandikisha zaidi ya mara moja

    Nina uhakika kabisa tena bila shaka watu wanajiandikisha mara mbili especially wanafunz wa IFM,CBE,DIT,TIA.najiuliza kwannn system ina accept hayo
  16. O

    Udhamini wa Lowassa unatia shaka

    Mimi sio mshabiki wa Lowasa ,naomba tuache ushabiki usio wa kisomi.Ukisoma fomu hizo zina nembo ya 4U,Wadhamini wanaotafutwa na watia nia ni za CCM sio hizo zilizobandikwa hapo.Tusipotoshe ,Tuwe makini kuchambua habari. Asante
  17. O

    Mtaalamu wa Real Estates mwenye uzoefu anahitajika

    Ndugu wana JF,nina imani kubwa jukwaa hili lina unganisha watu mablimbali wenye uwezo na vipaji vingi.pia ni njia /sehem muhimu kama kiungo cha jamiii.Kwa leo nina shida ya kumpata mtaalamu wa real estate ili tushauliane mambo mawili matatu katika fani hiyo.Natoa ombi kwa mwenye ujuzi katika...
  18. O

    Mtaalamu wa Real Estates mwenye uzoefu anahitajika

    Ndugu wana JF,nina imani kubwa jukwaa hili lina unganisha watu mablimbali wenye uwezo na vipaji vingi.pia ni njia /sehem muhimu kama kiungo cha jamiii.Kwa leo nina shida ya kumpata mtaalamu wa real estate ili tushauliane mambo mawili matatu katika fani hiyo.Natoa ombi kwa mwenye ujuzi katika...
  19. O

    Mkurugenzi Halmashauri Mbinga ni Majanga, DC fuata upepo

    nimefuatilia kwa makin malalamiko haya,kila wiki naona post inahuyu mbinga yaan DC na DED. nimefanya utafiti na kugundua kuwa tatizo ni afisa elimu ambaye anafanyiwa ukaguzi kwa maagizo ya DED.afisa huyo kwa kuwa anajua kuwa ana madudu mengi japo DED alimvumilia sana kawahonga baadhi ya madiwan...
Back
Top Bottom