Search results

  1. Zanaco

    Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
  2. Zanaco

    Tujikumbushe kidogo Dkt. Karl Peters na Mikataba ya Kilaghai

    Jumamosi ya Novemba 15, 1884, Kansela wa Ujerumani, Otto von Bismarck, aliitisha mkutano mkubwa kwa ajili ya kuligawa Bara la Afrika. Mkutano huo uliofahamika kama Berlin Conference, ulifanyika kwenye makazi yake huko Wilhelmstrasse, Berlin. Mkutano huo ulilenga katika kuwaepusha wababe wa...
  3. Zanaco

    Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

    Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo. umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
  4. Zanaco

    Website ya CHADEMA na Application ni muhimu sana

    Habari wadau, Nimetafuta website na app ya CHADEMAkwenye Play Store sijapata; kama kuna mtu anayo anitumie link niipitie kuna kila sabu ya Lissu kutumia website na app kuwafikia watu wengi ndani na nje. 1. Website kwajili ya Live Stream 2. Michango ya Kampeni yote kupitia kwenye website 3...
  5. Zanaco

    Tangu tumepata uhuru tumeisha launch spaceships na satellites ngapi kwenda anga za mbali?

    1. Kila siku mtaani ni habari nyeusi. Ni lini tuta launch Satellites, Spaceship na mavitu kama haya kuelekea kwenye anga za mbali? 2. CCM Mnaelewa nini kuhusu dhana ya Technology kwa wakati huu?
  6. Zanaco

    Kuelekea 2020: Tume yetu ya Uchaguzi kwanini isitumie utaratibu wa kuhesabu kura kwa uwazi uliomfurahisha Kikwete?

    Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameeleza kufurahishwa na utaratibu wa kuhesabu kura kwa uwazi uliotumika kwenye uchaguzi mkuu wa Nigeria uliofanyika Februari 23. 3/11/2019 Kikwete avutiwa uhesabuji wa kura kwa uwazi Nigeria - Mwananchi Kikwete avutiwa uhesabuji wa kura kwa uwazi...
  7. Zanaco

    Uchaguzi 2020 Binafsi nimpongeza sana Tundu Lissu kugombea Urais 2020

    Harakati za LISSU alianza zamani sana na ndie alieshinikiza serikali kuheshimu mchango wa wachimbaji wadogo na hadi leo matunda yake yanaonekana. Nakumbuka vema sana hili sakata. Nyumba ya Lissu ilipekuliwa sana akiwa nje ya nchi kikazi. Walikuwa wanatafuta mkanda wa video ambao mhe. Mrema...
  8. Zanaco

    NICOL is under investigation on the 10 billion/- loss

    THE National Investment Company Limited (NICOL) is under investigation on the 10 billion/- loss allegedly occasioned during the company’s former management, the newly-appointed NICOL’s Manager, Mr Kinoni Wamunza, said in Dar es Salaam yesterday. He told a news conference that already KPMG, who...
Back
Top Bottom