Hongera kwa uchambuzi wa utendaji kazi wa hao uliowataja.
Nasubiria uchambuzi zaidi wa wengine pamoja na sera.
Ushauri wangu ukimaliza kuwachambua hao unaofikiri wanafaa kwa nafasi hizo unazofikiria, anza kutuletea upande wa pili.
Upande wa pili ni Bungeni, kwa sasa Bunge halina hata nafasi...
Muda huu anga imetanda wingu kubwa la moshi mzito mweusi ukitokea maeneo ya Vingunguti au jirani na huko. Walioko jirani na eneo la tukio watujulishe nini kinaendelea huko, je ni salama kwa afya za watu wengine?
Je NEMC wana taarifa na tukio hilo ni ajali au limepangwa ndani ya utaratibu wao.
Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria.
Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme.
Hali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia...
Wakuu habari za leo,
Naomba radhi kwa watakaoelewa tofauti na nilivyoelewa mimi. Niwashirikishe katika maswali niliyoulizwa na Babu mmoja jana kwenye kituo cha daladala ambacho kina pilikapilika nyingi za biashara kwenye jiji la kiuchumi la DSM.
Nilifika kwenye meza yake ya biashara ya matunda...
Ninakutakia Heri Nyingi, Afya Njema na Umri Mrefu Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa uliyeweka rekodi barani Afrika. Bado tunakuhitaji utuvushe na tuvuke wote katika kipindi hiki cha misukosuko ya kiuchumi duniani. Mungu aendelee kukulinda.
Haaaaaa mambo haya ya siasa haya. Ndiyo maana sisi wengine ni Watazamaji !!! Mleta Uzi unajua kucheza na akili za wana wa nchi. Makamu wa "Tanganyika", Atalihutubia "TAIFA". Mbona mnakuza mambo bila ya sababu za msingi?. Kama Taifa ndiyo linahutubiwa hivyo basi hizi siasa za kujifunza au za...
Mawazo, Msimamo, Mikakati yako yote ni mipango mizuri. Nenda kwenye utekelezaji na kwa nia njema uliyokuwa nayo urudi hapa utupe matokeo baada ya msimu wa kwanza kumalizika.
Miezi miwili ya kujiunga humu ndiyo unaleta mawazo hayo yalikomaa ya Great Thinkers..
Unawajua wanaopelekwa Milembe? Ukiendelea hivi kuna siku nawe utajikuta huko huko.
Hakuna sababu ya kuchukua hiyo hatua. Waone viongozi wa mtaa au kijiji chako, waeleze hiyo hali, hiyo mamlaka itajua cha kufanya kulingana na mazingira yako. Tulia usaidiwe, usichanganyikiwe mapema kijana.
Salaam kwa NMB au washirika wao wanaopitia humu kwenye jamvi.
Tofauti na Benki nyingine, kwa maslahi ya kibiashara majina siwezi kuyataja.
Naomba mwenye kujua ni tatizo la kiufundi au salio langu kwenye simu ni tatizo na kama kuna mwingine anapata tatizo hilo tjuane.
Ukiingia kwenye NMB...
Wanabodi,
Anayejua jumamosi Julai 30 kuna mgao wa umeme sehemu yoyote ya Dar au umeme kukatwa kwa muda mrefu anisaidie hiyo taarifa.
Inawezekana imenipita sasa nabaki kushangaa tu huu umene vepeee !!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.