Search results

  1. N

    4IR na 4th Industrial Revolution Africa

    Ukitaka kutumia referral kwanza ujisajili bure. Utumie referral hii RBV-00019 at Blockchain Valley kwa kujisajili. Mara umeshajisajili na KABLA ya kuendelea utapata namba yako ya pekee ya referral ndani ya "my account".
  2. N

    4IR na 4th Industrial Revolution Africa

    Tovuti zipo kwa English, Kifaransa na Kihispania. Mikataba (Purchase agreement) zinakuwa na KYC ya awali, na pesa zote ya ununuzi zitakaa kwa escrow, audited na Mamlaka wa Masoko wa Ufaransa (AMF) baada ya mwisho wa mauzo 23 July 2023. Tokens distribution itafanyika kadiri ya ratiba ya...
  3. N

    4IR Token, The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa

    Use this referral number to register for free RBV-00019 at Blockchain Valley
  4. N

    4IR na 4th Industrial Revolution Africa

    Jamani mkipenda msome 4IR Token. The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa Karibuni
  5. N

    4IR Token, The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa

    Our Linkedin is https://www.linkedin.com/company/blockchainvalley-bv/ Our main company is www.blockchaincompany.info (Linkedin https://www.linkedin.com/company/blockchaincompany/) Our email is offering@4irtoken.com Welcome to discuss (starlightz? where are you?)
  6. N

    4IR Token, The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa

    Good day, fellows. In these times of technological change, whoever in business and white-collar jobs not aware of the incoming 4th Industrial Revolution and the Web3 issues is wasting time. These changes are bringing digital money, new approaches to technology and understanding of business...
  7. N

    Uzi Maalum wa kupeana Maujanja ya Cryptocurrency

    Pamoja na yote, elimu na ujuzi zinahitajika sana. Kabla ya kupoteza pesa kwa sababu ya FOMO (Fear of Missing Out), inabidi kusoma au kuangalia sana tutorials ya kila aina kuhusu cryptocurrencies, NFTs na DeFi, pia podcasts za kila siku toka pande zote za Dunia kwa Youtube, Twitter, n.k...
  8. N

    Skinny jeans za kike mtumba grade A zipo DSM!

    Asante sana kwa wazo nzuri. Ila nimeamua nisiweke, kwa sababu maalum ya kimarketing. Serious people will DM, direct message, or PM personal Message. E-commerce in a mikakati mingi.
  9. N

    Skinny jeans za kike mtumba grade A zipo DSM!

    Zitakapofika wiki hii nitapiga picha lakini ni sawa na hizi
  10. N

    Skinny jeans za kike mtumba grade A zipo DSM!

    BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam. Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali. Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu! Usipoteze nafasi, ondoa umaskini. Hatuuzi rejareja kwa sasa Kwa Maelezo zaidi DM!
  11. N

    MSAADA,NATAFUTA JEANS HIZI

    BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam. Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali. Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu! Usipoteze nafasi, ondoa umaskini. Hatuuzi rejareja kwa sasa Kwa Maelezo zaidi DM!
  12. N

    Ni wapi naweza kupata nguo za mitumba za wanawake kwa Dar es Salaam?

    BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam. Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali. Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na 80 tu! Usipoteze nafasi, ondoa umaskini. Hatuuzi rejareja kwa sasa Kwa Maelezo zaidi DM!
  13. N

    TANZIA: Mwanafunzi Kampala International University (KIU) afariki dunia baada ya kushambuliwa na vibaka

    Huyu binti alikuwa rafiki ya karibu na binti zangu. Alikuwa mtu mzuri na mchapakazi, alikuwa na mawazo mengi kuhusu maisha yake ya baadaye na alikuwa anakaribishwa popote kwa ukarimu wake. Tunasikitika sana leo. Usalama wa eneo la UDSM ni dogo sana haswa wakati wa usiku, ingawa mwenyewe...
  14. N

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Mfumo wa Apartheid na ya ubaguzi wa rangi bahati nzuri umeisha. Lakini msema kweli.... Jamani, article hii inatokea kila mwaka, na kila mwaka wengi wanaamini kwamba ni ya kweli. SI YA KWELI. NI FEKI. Speech hii SI KWELI. Just google it plus fake.... Sitasema zaidi ya kwamba Internet ni kubwa...
  15. N

    Msaada namna ya kufika Spain

    Ndugu, ukitaka kuja España achana na Uhamiaji harm toka Libya au Morocco. NI hatari sana na Wengi wanakufa. Masharti ya Visa Spain ni Yale Yale ya Moja wa Ulaya, mana uwe na sababu ya msingi wa safari, uwe na mwenyeji, pesa ya kutosha mfukoni, na kadhalika. Watanzania wapo ingawa si wengi...
  16. N

    Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya

    Asante bwana Katavi. Nasikia sana kwamba ni ngumu sana kuota. Nilikuwa nafikiri Morogoro pangekuwa pazuri, lakini naanza kuwaza kama kwamba pengine Njombe au Iringa pangefaa zaidi....
  17. N

    Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya

    Habari zenu? Nafanya utafiti kidogo kuhusu Lucerne au Alfalfa Tanzania na Kenya. Hapo Kenya naona wanalima alfalfa kwa ajili ya ng'ombe na mbuzi Zao. Tanzania sijapata Maelezo bora, zaidi ya kwamba wachache Arusha na Moshi wanalima kwa ajili ya mahitaji Yao binafsi, na mbegu ni adimu sana...
  18. N

    Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Madaba (sijui sehemu nyingine) unaanza kuandaa shamba Oktoba na unapanda Novemba. Unaweza kuvuna June au unaweza kuiacha mpaka Oktoba Novemba mwaka ujao, inategemea bei unaoikuta June, kama ni bei ya chini sana kama mwaka jana afadhali uiache ardhini kwanza. Lakini hata kwa bei ya chini bado...
  19. N

    Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kwa uzoefu wangu kwa eka moja unahitaji si chini ya kg1,000 ya mbegu, afadhali kg 1,300. Na kama umelima vizuri na ardhi yako inakuwa nzuri na umepalilia ipasavyo unaweza kupata kati ka kg 6,000 mpaka 9,000 kawaida. Ukiacha tena kwa ajili ya mbegu kg 1,300 utauza kg4,700 mpaka kg7,700 ya...
Back
Top Bottom