Search results

  1. gemmanuel265

    Serikali ya awamu ya 5 kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wa utoaji haki

    Utawala huu wa awamu ya tano umekuwa utawala wa hovyo sana toka nchi hii kupata uhuru wake, ni utawala unaotoa haki kwa double standard sana Wakati anaingia madarakani Rais Magufuli alianza kuvunja katiba na sheria za nchi kwa kupiga marufuku shughuli halali za vyama vya siasa (upinzani) maana...
  2. gemmanuel265

    Kauli za Rais Magufuli na Mwita Waitara ni kauli za hatari sana kwa Tanzania ijayo

    Baada ya Tundu Lissu kuipinga ile ripoti ya pili ya madini maarufu ripoti ya makinikia ya Prof Osoro na kuiita uchafu wa kitaaluma, Rais wa Tanzania mh John Magufuli alinukuliwa na vyombo vya habari akitamka maneno ambayo aliona kuna mtu anakwamisha juhudi zake za kupambania rasilimali za nchi...
  3. gemmanuel265

    Lissu ni dhahabu iliyopitishwa kwenye tanuru la moto na sasa ni dhahabu ing'aayo zaidi

    Tokea kushambuliwa kwa mh Lissu na watu tunaoambiwa kuwa 'wasiojulikana' japo wanajulikana kwa matamko na matendo yao walio mtendea baada ya kupigwa risasi Lissu ni dhahabu iliyopitishwa kwenye tanuru la moto mkali, sasa ni dhahabu ing'aayo kweli kweli hata wale tunaoambiwa hawajulikani japo...
  4. gemmanuel265

    Lissu ni mzalendo wa kweli katika nchi hii, ila ni msaliti wa kweli kwa tawala zisizo heshimu misingi ya utawala wa sheria

    Historia ya Tundu Lissu katika kupigania misingi ya utawala bora yenye kuheshimu haki za binadamu ni kubwa sana katika nchi hii Lissu ameanza kupigania maslahi ya nchi hii toka miaka ya 1990+ wakati huo watawala waliopo sasa wakiwa upande wa wanyonyaji wakitunga sheria mbovu za kunyonya taifa...
  5. gemmanuel265

    Kwa mtiririko wa haya matukio dhidi ya Lissu, serikali inao wajibu wa kutueleza Watanzania kwanini tusiihusishe kuhusika kwake na shambulio hilo!

    Baada ya shambulio la kutaka kumuua mh Lissu serikali kupitia Bunge ilimnyima haki yake ya matibabu. Watanzania walioumizwa na shambulio lile baya kabisa walipanga kufanya maombi ya kitaifa dhidi ya mh Lissu, cha ajabu serikali kupitia Jeshi la Polisi ilipiga marufuku maombi hayo. Watanzania...
  6. gemmanuel265

    Chadema Tarime wafanya Mkutano wao Mkuu

    Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Tarime Vijijini umefanyika leo Tarime Mjini, Ajenda kuu ikiwa ni Uchaguzi wa ndani Source: Mohonia Joseph 2020 John Walker out
  7. gemmanuel265

    Basata yamfungia Diamond kufanya onyesho lolote ndani na nje ya nje

    Msanii wa bongo fleva Diamond amefungiwa kufanya onyesho lolote ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana
  8. gemmanuel265

    Miaka mitatu ya Rais Magufuli "wasemavyo viongozi wakuu wastaafu"

    Kuna hiki kipindi kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV kila Jumatano SAA 4 usiku kisemacho "WASEMAVYO VIONGOZI WAKUU WASTAAFU" kipindi hiki ni mahususi kupiga propaganda za kuaminisha Watanzania kuwa utawala huu wa awamu ya tano ni zaidi ya awamu zote zilizopita toka uhuru. Kati ya...
  9. gemmanuel265

    Majimbo/Kata za waliounga mkono juhudi, je, kuna athari chanya zozote kiuchumi toka kuunga kwao juhudi katika maeneo hayo?

    Baada ya vuguvugu la siasa za vyama vingi 2010 - 2015 lililoogopesha watawala wasiopenda utawala bora unaozingatia misingi ya haki na usawa limefanya kuzalisha siasa mufilisi kabisa zilizokosa utu na ustaarabu wa kisiasa kutoka chama tawala kwa sababu ya hofu yao ya kuchokwa na wananchi...
  10. gemmanuel265

    Maneno ya kishujaa ya Freeman Mbowe dhidi ya wasaliti!

    "Kama kuna mtu anadhani anaweza kukiyumbisha chama hiki kwa fedha, ajitafakari upya! Viongozi wakuu wa chama hiki hawatayumbishwa kwa vitisho au fedha. Tunaongoza mapambano, kama kuna watu wanataka kusaliti mapambano haya kwa tamaa ya fedha, watoke haraka sana!" By Freeman Aikael Mbowe
  11. gemmanuel265

    Kauli hii ya Rais ndiyo matokeo ya chaguzi hizi za hovyo

    "Mkurugenzi nimekuteua mimi gari nimekupa mimi, Mshahara nakulipa mimi, Nitakushangaa kumtangaza Mpinzani mshindi."- John Joseph Pombe Magufuli Hii ndio kauli Rais aliwahi kutoa kwa Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali nchini kama agizo kwao wakati akiwaapisha ambayo ni kinyume kabisa na hadhi...
  12. gemmanuel265

    Nchi ya "Wana-lizombe" tunaendelea kubana matumizi

    Sisi kama Chama tawala nchi hii, Jamhuri ya wana LIZOMBE, tunaweza kununua madiwani na wabunge kutoka vyama vya upinzani, ili kuunga juhudi zetu mkono, tunawanunua, tunawapa fomu za kugombea tena walichokiacha, tunawasimamia wanashinda. Tunaendelea KUBANA MATUMIZI. Tunatumia 'mabilioni ya...
  13. gemmanuel265

    Kwa umati huu wa wananchi kwa CHADEMA kuhitimisha kampeni za ubunge Jimbo la Ukonga ni dhihirisho la kuchokwa kwa CCM nchini

    Viongozi wa kitaifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mwenyekiti Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Dr Vicente Mashinji na Mbunge wa Jimbo la Kawe Mh Halima Mdee wakihitimisha kampeni za kumnadi mgombea ubunge Jimbo la Ukonga kupitia Chadema dada Asia Msangi Kwa umati huu ni salamu kwa...
  14. gemmanuel265

    Uzalendo haupimwi kwa kuchukia wapinzani wako kisiasa

    Kwa hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini ni ya kuogofya sana kwa wale wenye kulitakia mema taifa hili, CCM kwa hofu ya kukataliwa na wananchi wameua kufanya siasa za lolote liwalo na liwe lakini lazima wasalie madarakani, iwe kwa njia haramu ama halali Kauli za viongozi mbalimbali wa CCM...
  15. gemmanuel265

    Ukiitazama picha hii na tukio lenyewe tuna safari ndefu sana kama nchi

    Hii picha ni ya tukio la leo kwenye upokeaji wa ndege mpya ya Atcl uwanja wa ndege wa Dar es salaam, ukiitazama hii picha unaona kabisa taifa hili linahitaji sana ukombozi wa fikra, leo hii kweli tunaenda kupokea ndege moja kwa umati mkubwa aina hii kama ndio tumepata uhuru mwaka jana toka kwa...
  16. gemmanuel265

    Rais Magufuli anahitaji sana mawazo ya wakosoaji wake kuliko washangiliaji wake

    Rais Magufuli wakati wa kipindi cha kampeni uchaguzi mkuu 2015 aliwaahidi Watanzania mambo mengi sana ambayo kwa kiasi kubwa sana ameshindwa kuonesha njia za kuyatekeleza kwa vitendo zaidi ya kufanya propaganda za kisiasa kama bado yuko kwenye kampeni Wakati wa kampeni 2015 aliahidi neema ya...
  17. gemmanuel265

    Sakata la KKKT: Msajili aliyesimamishwa kazi na Mwigulu kwa kuandika barua batili Maaskofu, arudishwa kazini

    Msajili wa taasisi za kiraia na vyama vya hiari wa Wizara ya Mambo ya ndani Bi Merlin Komba, ambaye alisimamishwa kazi na Mwigulu Nchemba wiki chache zilizopita kufuatia msajili huyo kuandika barua kwa Kanisa la KKKT kutaka lifute waraka wake wa Pasaka, amerudishwa kazini Waziri Mwigulu alisema...
  18. gemmanuel265

    Wingi wa wabunge wa CCM ndani ya bunge la Tanzania ni mzigo kwa mlipa kodi

    Wajibu na majukumu ya mbunge kikatiba ni kutunga sheria, kuisimamia serikali na kuiwajibisha pale inapobidi Wabunge wote bila kujali vyama vyao vya kisiasa majukumu yao kikatiba hayatofautini, hivyo ni aibu kubwa sana kuona wabunge wa chama tawala wanapogeuka kuwa sehemu ya serikali iliyoko...
  19. gemmanuel265

    Urais wa John Magufuli ni mpango wa shetani kuvuruga taifa hili?!

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu katika mtindo wa swali kutokana na taifa hili kuendelea kushuhudia mambo mengi ya kuogofya toka kuingia madarakani 2015 rais wangu John Magufuli. Yako mambo mengi yanafikirisha sana akili kwa wenye kuongozwa na mitazamo ya haki na utu kwa watu wote...
  20. gemmanuel265

    Rais John Pombe Magufuli amekusudia kuua upinzani kwa manufaa ya nani ikiwa Watanzania tunauhitaji?!

    Rais Magufuli katika utawala wake kwa namna anavyodili na vyama vya upinzani nchini ni dhahiri ameamua kutumia vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha nguvu ya vyama vya upinzani inafifia kama siyo kupotea kabisa, na hii ni dhahiri ameshindwa kupambana na vyama hivi kwa nguvu ya hoja na ameamua...
Back
Top Bottom