Search results

  1. gemmanuel265

    Nchi inasherehekea Pasaka kama msiba, hakuna shamrashamra!

    Nchi iko na hali mbaya sana kiuchumi.
  2. gemmanuel265

    Hati ya Mashtaka dhidi ya CAG Assad: Anachomokaje?

    Ndugai anampa mashtaka CAG kama nani?
  3. gemmanuel265

    Polisi na ubaguzi na chanzo cha machafuko, wazuia mkutano wa Mbunge Kubenea na kuwaruhusu Polepole kufanya mkutano kwenye jimbo la Kubenea

    Yaani inasikitisha sana kama tuna viongozi wa polisi wanaotumika kisiasa,....ni aibu kubwa hawa polisi kushindwa kuona athari zozote mbele. Hata huko tunakoona tawala zinaondolewa kwa nguvu ya umma haki za jamii husiku nilikuwa zinadhurumiwa bila watawala kujali kwa lolote.
  4. gemmanuel265

    Tuliambiwa Rais Magufuli haendi nje ili kulinda fedha za wanyonge, vipi wizi wote huu?

    Rais Magufuli kile unachoweza kukiamini toka kwake ni salamu pekee.
  5. gemmanuel265

    Spika Job Ndugai: Matatizo yetu na Prof. Mussa Assad ni kutuita dhaifu, alitakiwa ajiuzulu. Hatuna tatizo na ripoti yake, tutaifanyia kazi

    Ndugai hana sifa za kuwa kiongozi, kiongozi lazima uwe na hekima na busara,...lakini kwa Ndugai hakuna yote hayo.
  6. gemmanuel265

    Bossi wa ATCL akiri kuwa ripoti ya CAG ni ya ukweli, shirika linajiendesha kwa hasara kwa mwaka 2017/18 wana hasara ya bil 16

    Mwaka Jana Magufuli aliwadanganya Watanzania kuwa Shirika la Ndege lilipata faida ya bilioni 28. Hivi huu ujasiri wa kudanganya wananchi wazi wazi kwa macho makavu anautoa wapi huyu Rais Magufuli. Rais Magufuli simuamini tena takwimu zake.
  7. gemmanuel265

    Ripoti ya CAG: Ununuzi magari ya Serikali unavyofuja fedha

    Ccm huwa haipewi kura na wananchi,....jeshi la polisi, tume ya uchaguzi, ded,...hawa wote hulazimisha ushindi kwa njia dhuluma.
  8. gemmanuel265

    Ripoti ya CAG: Ununuzi magari ya Serikali unavyofuja fedha

    Jpm anapaswa kutiwa ndani akawajibike kwa kuzalisha ufisadi mwingi katika utawala wake.
  9. gemmanuel265

    Makamu wa Rais ashangazwa na watu wanaohoji kuhusu ulinzi wa Rais..

    Rais aliyevuruga usalama wa taifa lazima awe na ulinzi wa kutisha. Haya maendeleo kila siku mbona huko kijijini hakuna maendeleleo, hali ni ngumu sana kuliko kipindi cha Jk.
  10. gemmanuel265

    Prof. Tibaijuka: Mbunge Lusinde ana elimu ya Uzamili (Masters) lakini hana cheti

    Kweli kwa ccm huenda kweli uelewa wake ni kiwango hicho.
  11. gemmanuel265

    Tumeona madudu yaliyoibuliwa na CAG, Rais akianza kuchukua hatua tuvumilie..

    Ripoti ya CAG ya mwaka jana mbona kwenye meneo ya ufisadi mkubwa hakuchukua hatua?
  12. gemmanuel265

    Nimepata mshutuko mkubwa sana baada ya kuona utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/ 2019 haujatekelezwa hata kwa 30%

    Taifa hili linafuata nyao za Zimbabwe,...wakati ndio utazungumza.
  13. gemmanuel265

    Nilichokiona sokoni jana kuhusu vitambulisho vya ujasiriamali nilitamani kulia

    Watanzania mtajutia sana utawala huu wa mtu asiye na roho ya utu,....amejaa ukatili kama Hitler.
  14. gemmanuel265

    Hongereni ATCL, kwa kazi nzuri,japo upotoshaji ni mkubwa sana toka kwa baadhi ya watanzania,wakleta dhihaka kwa Mkuu wa nchi,msikatishwe tamaa

    Mwaka jana Rais Magufuli aliwadanganya Watanzania kuwa ACTL ilipata faida ya bilioni 28,...nchi hii imepata kuwa na Rais muongo muongo sana awamu hii.
  15. gemmanuel265

    Kwa hali hii, huyu bwana 2020 agombee ili iweje?

    Ushabiki ndio unavuruga taifa hili,...kwa hali ilivyo mbaya kwa sasa huyu jamaa alipaswa 2020 apigwe chini akavue sangara Chato.
  16. gemmanuel265

    UVCCM: CCM pekee ndiyo itatupeleka nchi yenye uchumi mkubwa

    Hawa watafuta vyeo hawana lolote,...ccm iko karibu miaka 60 na hakuna kilichofanyika.
Back
Top Bottom