Search results

  1. multiple

    Database ya utumishi imetema

    Kwa watafutaji na wanoamini walibaki kwenye database ..cheki kama umebahatika
  2. multiple

    Utumishi mtaniua kwa pressure

    Wakuu nacharaza keyboard hapa na majonzi tele bado siamini amini kabisa kweli na kusoma miaka mitatu A/C kwa haya maswali ya written kwa Accountant 1.Accounting document proof (explain) 2.Examples of Asset ( na kujifanya Niko deep nikadefined nikaweka zile type zake ndo nikaweka na mifano zake...
  3. multiple

    Update NAFASI ZA KAZI POSTA

    Wakuu , kuna zile nafasi za kazi Shirika la Posta Walitangaza mwezi uliopita, na deadline ilikua tareh 27 June .Kuna yeyote mwenye Update ya chochote? kama waliisha itwa?, Tusije kuwa tunasubiri kwenye Hamna jamani
  4. multiple

    Yuko wapi huyu mtu K4life wa Mikumi

    Habari wakuu... Nieende moja kwa moja , kama kichwa kinavyosema hapo.Leo nimepita hapa Mikumi. Katika kushangaa shangaa nikakumbuka bwana mmoja wa JF. Huyu bwana @K4life na story zake nyingi za majanga yake ya mikumi (hahahaahah:D:D:D:D:D:D)..yan huyu bwana matukio yoote ya ajabu alishuhudia...
  5. multiple

    Hello, mgeni wenu jamani

    Heshima kwenu wakuu.. nimekua nikiperuzi kwa muda mrefu lakini sikuwa nimejiregister. Nimeingia sasa kwa miguu yote. Nimenishawishi sana watu mnajua vitu mpaka basi aisee. Amebarikiwa Preta FaizaFoxy intermediate mshana jr miss chagga Evelyn Salt ni weeeengi mno ..nimebarikiwa na mchango...
Back
Top Bottom