Search results

  1. kijazi07

    Biashara ya juice ya miwa

    Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada nataka kuanza hii biashara naomba mniambie upatikanaji wa mashine ya kukamulia miwa, soko la miwa linapatikana wap hapa dar es salaam pia changamoto ya hii biashara ni ipi ,,, pia kama una input yoyote naomba unishirikishe
  2. kijazi07

    Naombeni msaada

    Kuna mtu ameaaply wizara amesubmit kimakosa sasa kuna marekebisho anahitaj kufanya na kuongeza baadhi ya document akifanya hivo inagoma sababu alisha submit deadline tar 28 siaja namsaidiaje Nb nimemshauri aende wizaran dodoma kabla ya hiyo deadline. Kama kua mwenye wazo anisaidie.
  3. kijazi07

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kurekebisha jina lililokosewa kwenye vyeti

    Naomben msaada wa taratibu za kufanya ili kurekebisha jina lililokosewa. Yaan jina lililopo kwenye vyeti vyote ni tofauti na ilivyo kwenye Nida na cheti cha kuzaliwa. Majina yaliopo kwenye NIDA ni sawa na yale yaliokuepo kwenye cheti cha kuzaliwa ila ni tofauti na yale yaliokuepo kwenye vyeti...
  4. kijazi07

    Naomba kujuzwa tofauti ya Kisimbuzi cha Azam cha Antena na Dish

    Naomba kujua kuna utofauti upi kati ya kisimbuzi cha azam kile cha antena na kile cha dish?
  5. kijazi07

    Naomba kujuzwa shule ya watoto wenye shida ya Autism

    Naombeni anaejua sehem ambapo wanafundisha watoto wenye shida ya ubongo yani Autism naomben msaada tafadhali.
  6. kijazi07

    How to unlock incoming call

    Aseeh naimben msaada simu tecno camon 12 Mtu akipiga anaajulishwa kwamba namba ipo busy na huku unakuta missedcall tu yan nimejaribu mbinu nying ila naona nimefika ukomo wakubwa na wataalamu wa hiz kaz naomben msaada
  7. kijazi07

    Kuendesha gari kwa mkono mmoja

    Dah! Mazoea hujenga tabia yaani nilishajizoesha kuendesha gari na mkono mmoja leo nimejaribu kushika usukani kwa mikono miwil bado kidogo nifanye blanda dahhh Hivi ni mimi tu nimekuwa hivi?
  8. kijazi07

    Je, AC ya gari inatumia mafuta?

    Naombeni kueleweshwa ni kwa namna gan AC ya gari inatumia mafuta. Mfano nikiwa nimeweka gari on bila kuliwasha kabisa alafu nikawasha AC mafuta yanatumika?
  9. kijazi07

    Redio bila internet

    Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
  10. kijazi07

    Laini ya Halotel imegoma ghafla kusoma kwenye simu

    Aseeh lain yangu ya Halotel imegoma ghafla kusoma kwenye simu both smartphone na kitochi Je, hili tatizo ni kwangu tu au kuna aliepata shida kama yangu?
  11. kijazi07

    Ipo tofauti kati ya 4G na LTE?

    Hivi vitu vinanichanganya sana mwenye uelewa naomba anisaidie maana kuna jamaa yangu tulisajili line za Airtel siku moja yeye kwenye simu yake inaandika lte kwangu inaandika 4G Simu anayotumia ni Samsung S8 Plus, mimi natumia Galaxy Note 9
  12. kijazi07

    Aibu ya mwaka hii

    Huwa nikiamka asubuh kujiandaa kwenda job nawashaga redio na connect bluetooth nasikiliza music huku najiandaa Leo nimesahau kuswitch off redio nikaacha bluetooth on Nipo kazini naona majiran zangu wawili wote wananitafuta kila mmoja kwa muda wake wakinambia nizime redio nasumbua na vitu...
  13. kijazi07

    Msaada kwa wale wanaotumia smartphone aina ya VIVO Y93s

    Naomba kusaidiwa kufungua vivo account nimefata step zote ila tatizo lipo kweny code nimenitahid kutafuta code zetu za tanzania ila wap hazipo naomben msaada wataalamu wa kazi
  14. kijazi07

    Fahamu namna ya kuondoa option ya kupata update za whatsapp status

    Hii ni kwa wale wanaotumia fmwhatsaap, yowhatsaap, gbwhatsaap na nyingine kama hizi ila sio kwa wale wanaotumia whatsaap ya kawaida Fungua whatsaap yako then click kwenye vidot vitatu unavyo viona kwa juu then utaclick option inayoitwa FOUAD MODS then utaclick HOMESCREEN then utaclick...
  15. kijazi07

    Upi mtindo wako wa kunyoa nywele za kichwani?

    Mm kiukwel sina style maalum Yan najikuta nishakaa kwenye kiti kinyoz akiniuliza sina chakumjib Ebu weken style zenu zakunyoa na majina yake aseeh ili na sisi tupendeze. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kijazi07

    Nafuta jina la hii movie

    Kwaaliewah kuiona tafadhal nisaidie
  17. kijazi07

    Galaxy Note 9s pen hai-connect naomba msaada

    Anaejua namna ya kufanya hii s pen i connect mweny simu naomba msaada yaaan ni kwamba inafanya kazi kama kawaida ina sense vizur na kila kitu kipo sawa isipokuwa hilo la kucconect maana isipo conect kweny simu kunabaadhi ya mambo siwez yafanya naomben msaada wakuu wa kaz. Sent using Jamii...
  18. kijazi07

    Je, kuna tatizo lolote Kuchaji simu kabla haijaisha chaji?

    Hivi kunatatizo kuchaj simu hata kama haijaisha chaj mfano umeiweka chaj ikajaa then ukaitumia ikafika kama 64% then ukairidisha chaj tena kuna shida hapo je? Hili linaweza ua betri? Sent using Jamii Forums mobile app
  19. kijazi07

    Msaada wa kupata Android 10

    Ambaye ameshafanikiwa ku-upgrade from Android 9 atusaidie sisi wengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. kijazi07

    Kusaga nazi kwa blender

    Wakubwa naomba kujuzwa kama inawezekana kusaga nazi kwa blender au ukifanya hivyo blender inakufa?
Back
Top Bottom