Haiingii akilini kwamba January ambaye ni mgombea kijana azuie mjadala wa vijana wenzake anaowategemea wamuunge mkono huku akijua kufanya hivyo kutapunguza ushawishi wake kwao. Ungesema wapinzani wake labda wamekula njama ili January aonekane kashindwa ningekuelewa kidogo.
Habari wanaJF,
Nilisoma habari kwenye Jambo Leo kama alivyonukuliwa msemaji mstaafu wa JWTZ Kanali Mgawe.
"Kwa mujibu wa kamanda huyo mstaafu, hakuweza kutimiza ndoto yake ya kuwa rubani kutokana na mwanajeshi mwezake aliejulikana kwa jina la Pascal Nzuki, kufanya utundu wa kutorosha ndege ya...
Endelea kuganda hapo hata kazi hufanyi unatafuta umaarufu rahisi rahisi, simshauri makamba aache kazi za kutumikia waTanzania aje kujibu hadithi zako za vijiweni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.