Search results

  1. trojan

    Wapi nitapata fan ya laptop?

    Nina laptop ya hp Envy x360, Fan yake ya GPU imekufa, nimejaribu kupiga simu kwenye maduka tofauti hapa Tanzania bila mafanikio. Nimejifunza kuwa maduka yote niliyopiga hayauzi spare za laptop kama yanavyojitangaza. Naomba msaada kwa mtu yeyote anaeweza nipa mwongozo wapi nitapata. Ukinisaidia...
  2. trojan

    Paypal to Tigo Pesa Exchange

    Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.
  3. trojan

    Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Habari, Kwa yeyote anaehitaji kutumia number ya US kwenye whatsapp tafadhali ni PM. Gharama kidogo utatozwa ambazo ni 10$, gharama hii utalipa kwa mtu aliepo hapa Bongo baada ya kujihakikishia kama inafanya kazi. NB: No hii utaipata kihalali na wala si Magumashi (WIZI/Hacking) Kama haikuhusu...
  4. trojan

    Host website BURE (First 3 month) ,Reseller Hosting

    TitanicHost Tanzania Agent. Sasa host website yako BURE kwa miezi 3 ya kwanza,Huduma zetu nizakiwango cha juu 99% UP TIME. Usporidhika na huduma hutatozwa chochote. Web Hosting Tanzania - Shared Hosting | Reseller Hosting - TitanicHost Fungua biashara yako ya kuhost website(Reseller Hosting)...
  5. trojan

    WhatsApp Account Hacked

    Leo kuna mtu kanitumia kanitumia msg zangu za whatsapp:(:(:(:( . Kanituma link hii ya application hii https://goo.gl/c6Oaox aliotumia,sasa nimejaribu masaa 4 sasa bila mafanikio.Anaeweza itumia msaada pls coz nimekua surprised.:confused:
  6. trojan

    Anzisha biashara yako ya WebHosting Reseller

    Sasa waweza anzisha biashara yako ya Web Hosting kwa bei nafuu (Reseller Package). Bronze Package (Tsh 200,000/mwaka) --Unlimited Domains --Unlimited mail account --Reseller Account --Daily Backup Download Kwa bei za package nyingine tafadhali tembelea TitanicHost.net .Kwa bei za Hapa bongo...
  7. trojan

    Jinsi unavyoweza ibiwa password yako ya Facebook

    Linapofikia swala la wizi katika mtandao kila mmoja wetu uongea kadiri anavyoelewa tena baadhi yetu hudiriki hata kutaja baadhi ya njia zinazotumia katika wizi wa mitandao. Hivi majuzi nilikua nikifundisha vijana na kuwaelekeza Jinsi ya kuepukana na kuzuia wizi katika mitandao,nimegundua kua...
Back
Top Bottom