Search results

  1. M

    Msaada wa jinsi ya kupata atn kwenye startimes

    watakuwa wamestuka wachina .maana ata mimi nilikuwa nakula dubai one hd fresh lakini sasahivi no service kudadeki
  2. M

    Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    NilivyomuelewaNyoronyo Mwita ni kwamba ametumianeno KAMBA kama ni uamuzi wake wa kuikataa serikali kwa mambo hayo mabaya aliyoyasema,na mudawa kupiga kura utakapofikaatachagua chamakingine,akatumia neno KUJINYONGA akiwa na maana kama ccm ikishindwana ikang'ang'aniamadaraka kwa nguvuatapigananayo...
  3. M

    Shamba linauzwa (KIGAMBONI TWANGOMA)

    1 km.its ni karibu na shule ya secondary st gasper
  4. M

    Shamba linauzwa (KIGAMBONI TWANGOMA)

    Nah siyo.mradi mwisho kibada
  5. M

    Shamba linauzwa (KIGAMBONI TWANGOMA)

    Siyo eneo la mradi.mradi unaishia kibada.bei ni 6m per ecter
  6. M

    Shamba linauzwa (KIGAMBONI TWANGOMA)

    Heka 10 zipo,kama wewe ni serious Buyer na unaitaji ni PM tufanye business. natanguliza shukrani :llama:
  7. M

    Toyota raum - for sale

    kaka ntakupa m5.nije kuchukua hiyo gari
  8. M

    Vinegaaaass ILI FUNIKAAAA ile mbaayaaa!

    Watu walijitokeza kwa wingi,stage nzuri na performance ya kufa mtu,
  9. M

    Vinegaaaass ILI FUNIKAAAA ile mbaayaaa!

    Baadhi. Ya wadau waliotinga ktk show
  10. M

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    huyu snitch tu kisa ni jirani na JK ndo maana hata ktk safari zake anakuwepo,,na anakafoundation kake kanaitwa: Richard Atufigwege Kasesela Foundation
  11. M

    Shamba linauzwa 2 heka -mwasonga kigamboni

    hamna chumvi wala sukari,wewe kama unataka kufurahisha jamii poa ,but am doing b'ness hapa,zilikuwa 10 heka ,zimeuzwa 6 ,mbili kuna mtu alitaka zisiuzwe atakuja ,muda umepita zimerudishwa ktk soko ,sasa ni 4 heka zipo ,siasa hipo wapi.?wewe ni senoir member kweli...
  12. M

    Shamba linauzwa 2 heka -mwasonga kigamboni

    Haya wakubwa ,heka 4 ndo zimebaki so far , ni 2.5 m kwa heka ,mwenye nia anaweza akaongea , Poleni na swahumu Regards m.funga funga
  13. M

    Shamba linauzwa 2 heka -mwasonga kigamboni

    Wakuu kwani nini maan ya kuweka hiyo namba yangu hapo ???acheni siasa ,mwenye kutaka awasiliane na mimi through that number.
  14. M

    Shamba linauzwa 2 heka -mwasonga kigamboni

    Shamba linauzwa kigamboni mbele ya KIBADA.after dar es salaam zooNdugu wana JF ,shamba la ukubwa wa ekali 2 linauzwa kigamboni mbele ya kibada ,maeneo ya MWASONGa.Gari linafika mpaka shambani kabisa.after Dar es salaam zoo.Bei nafuu kabisa, KWA YEYOTE MWENYE NIA NA AMBAYE YUPO SERIOUS PLS...
  15. M

    Shamba linauzwa kigamboni mbele ya dar es salaam zoo

    kwa kujua bei na maelezo mengine tafadhari tuwasiliane kwa hiyo namba niliyotoa .
  16. M

    Shamba linauzwa kigamboni mbele ya dar es salaam zoo

    Ndugu wana JF ,shamba la ukubwa wa ekali 4 mpaka kumi linauzwa kigamboni mbele ya kibada ,maeneo ya MWASONGa. KWA YEYOTE MWENYE NIA NA AMBAYE YUPO SERIOUS PLS WASILIANA NA namba hii 0682124124 mabao fungafunga
  17. M

    Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

    jamaa alikuwa clouds fm ,leo ktk kipindi cha xxl akajishebedua kusema kuwa (SUGU mbunge wa mbeya ananilambia demu wangu)very weak move for him,publicit nyengine bwana ,jamaa kachemka kwenda ktk media ,nadhani ni mpango wa kumwalibia mr 2.,tusubili tuone
  18. M

    Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

    Jafarahi anasema SUGU katembea na Demu wake (SHYROSE BHAJI)ndo maana kamwacha,live on xxl leo mchana ..`publicist nyingine bwana..Thats a Punk Move..am dissapointed on him and those clouds media for trying to make another move to mr 2.
Back
Top Bottom