Search results

  1. mzeewangese

    Kipato cha milioni moja kwa mwezi life style gani ya kuishi na kipi kifanyike uweze kufika mbele zaidi kiuchumi ushauri

    Habari za jioni Wadau, Wakubwa shikamooni. Natumaini nipo jukwaa sahihi kabisa kama nimekosea naomba iamishwe jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natumaini kuna watu waliopita kwenye stage hiyo wakafika mbali zaidi. Kwa kipato cha milioni moja kwa mwezi unawezaje kujipanga...
  2. mzeewangese

    Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

    Tafuteni pesa . Kumtunza mama yenu bei gani kwani ndio unahisi hamutoendelea . Haupungikiwi kwa ajili ya kutoa. Mwambieni mama pesa ya kupanga tunayo Kupanga sio kupoteza pesa ila tunapqnga tupate changamoto za kimaisha zaidi ile tuweze songa mbele sio sababu ya kupoteza pesa.
  3. mzeewangese

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Punguza vitu kaya Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mzeewangese

    Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

    Brilliant advise Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mzeewangese

    Nimekuta chupi ya mke wangu chumbani kwa mdogo wangu wa kiume

    Muulize wanawake hawakosi majibu marahisi marahisi kwenye jambo zito kama hilo utapew jibu roho yako itatulia
  6. mzeewangese

    Kwa mara ya kwanza kurisk maisha yangu nauza vyote naingia Dar

    Ikkiwezekana cheti chako kiache tu mkoani ..we njoo na akili yako ..Ingia kariakoo ungana na wachuuzi wadogo wadogo ,kulala njaa mchongoma usiogope kutapeliwa kuishiwa kabisa, kuama chimbo nenda mbagala ungana na watu wa kusini wale fanya uchuuzi mdogo mdogo ,miezi 6 tu ushamasta mji. Acha...
  7. mzeewangese

    Wazungu na waafrika ni viumbe hai tofauti kabisa wenye DNA zisizofanana

    Ilo suala la kawaida sana hata kwao lipo
  8. mzeewangese

    Mume na mke kibaruani

    Wajinga pia wanasehemu yao kuishi duniani Si watetei ila watu munajiona nyie special sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mzeewangese

    Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Unajitesa sasa mkuu ungemzaba moja kubwa asingerudia ujinga kama huo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mzeewangese

    Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Huyo unampa apakati moja fala mkubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mzeewangese

    Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Nakubali Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mzeewangese

    Rais Magufuli kufanya ziara nchini Ujerumani

    Aende tupumue aisee akae hata mwezi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom