Search results

  1. AKILI TATU

    Nauza mahindi, kila gunia Tshs. 80,000

    Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50, kila GUNIA nauza Tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wa kunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka, shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na utayari Tuonane Inbox 📥
  2. AKILI TATU

    Wapi kuna Gym maeneo ya Mbezi Mwisho, Malamba mpaka Kinyerezi

    Wandugu kwema, Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona. Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
  3. AKILI TATU

    Wabunge wa Tanzania wafanya kweli Burundi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa Jukwaa la Maziwa Makuu washiriki Mkutano wa tano wa Uendelezaji Uchumi, Maliasili na Utengamano wa Kikanda, Bujumbura, nchini Burundi leo tarehe 26 Oktoba, 2022.
  4. AKILI TATU

    Watumishi wa umma simamieni miradi ya maendeleo kwa uadilifu

    NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewataka watumishi wa umma nchini kuwajibikaji kikamilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini ikiwemo ujenzi wa madarasa, zahanati, vituo vya afya na miundombinu ya barabara na...
  5. AKILI TATU

    Ditopile awaasa juwakita kumuombea Rais Ramia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka Wanawake nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa watoto wa kike wanapata elimu iliyo bora ili waweze kushindana kwenye soko la ajira sambamba na kushika uongozi kwenye nafasi mbalimbali. Ditopile ametoa kauli...
  6. AKILI TATU

    Chifu Mwakatumbula wa Wanyakusa akabidhiwa Ikulu ya kichifu leo...Imejengwa mwaka 1900

    Katika kutekeleza adhima ya Mhe Rais Samia Suluh Hassan ambaye ni kiongozi wa machifu nchini Chifu 'Hangaya' ya kuuhuisha kuendeleza tamaduni za kichifu nchini, Hatimaye Chifu wa kabila la Wanyakyusa ,Chifu Edwin Mwakatumbula leo amekabidhiwa Ikulu yake ya Kichifu na kiongozi wa machifu wadogo...
  7. AKILI TATU

    Habari hizi za kimataifa kwa manufaa ya nani hapa Tanzania?

    Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili. Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
  8. AKILI TATU

    Kuendesha baiskeli

    Eti wandugu kuna ajabu / aibu Kwa MTU mzima mwanaume kutokujua kuendesha baiskeli au pikipiki!?
  9. AKILI TATU

    Voice from within ya ndugu Pascal Mayala ni kweli. Hili limenikuta leo kwenye jackpot ya sportpesa

    Ndugu wanabodi kwanza niwape salamu, lakini kipekee nimpe salamu za heshima ndugu yetu hapa jamvini Pascal Mayalla , ambapo amekuwa kitujuza mambo mbalimbali haswa mada zake za Voice from within, binafsi nimekuwa shabiki wake bila kujali mada hizo zinamrengo gani. Bila kupoteza muda, kama...
  10. AKILI TATU

    Msaada jinsi ya kuweka blog banner ambayo ni responsive

    Wanabodi habari, naomba kufahamishwa namna ya kuset blog ads banner katika mfumo wa responsive maana Kila nikiweka kwenye simu muonekano wake unakuwa mbaya ..ni code Gani nafaa kuweka..!? Pia naomba msaada wa kujua namna ya kuset slide ads banner kwenye blog...yani natengeneza vipi haya...
  11. AKILI TATU

    Msaada wa lodge au motel karibu na Ubungo terminal

    Wandugu..natazamia kupata ugeni hivi karibuni..msaada mwenye kujua affordable lodge au motel karibu na Ubungo bus terminal ..nimesearch google sijaona affordable . Rent ianzie 20-35
  12. AKILI TATU

    Msemaji wa zamani wa Simba Asha Muhaji amefariki dunia

    Aliyekuwa msemaji wa Simba miaka ya 2010-12 Asha Muhaji ametangulia mbele ya haki mchana huu. mungu amrehemu Asha Muhaji enzi za uhai wake ====== Dar es Salaam. Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano. Asha...
  13. AKILI TATU

    Facebook Instant Articles for Blogspot(msaada mwenye kuijua)

    Wadau niaje..naomba mwenye kujua Facebook Instant Articles namna ya kujiunga kupitia blogspot maana Mimi najaribu inakwamia.kwenye RSS feed
  14. AKILI TATU

    Yanayofanyika Zanzibar kwanini yanashindikana Tanzania bara?

    Wanabodi habari, kuna msemo mnyonge mnmyongeni haki yake mpeni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na mfuko wa hifadhi Zanzibar wanaboresha makazi ya raia wa hali ya chini kabisa huko fukweni Zanzibar. Wanachokifanya wanaingia mikataba na wakazi wa maeneo hayo, mkataba...
  15. AKILI TATU

    Senegal vs Tanzania Live streaming Link

    Kwa msiokuwa na Azam TV na DSTV link ya kuangalia live streaming hii hapo chini SENEGAL vs TANZANIA |Live Streaming Link
  16. AKILI TATU

    Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link

    Jameni linki hii hapo kwa mabo hamuna Azam TV ..nasikia pia kumbe haitaonyeshwa Azam TV\ So link hii hapo chini kwa live streaming Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link
  17. AKILI TATU

    Liverpool vs Tottenham | Live Streaming Link

    Kwa tusiokuwa na DSTV walla pesa ya vibanda umiza link ya leo kutazama mechi hii hapo chini Liverpool vs Tottenham | Live Streaming Link
  18. AKILI TATU

    Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

    Wadau kama kichwa kisemavyo..napatwa ukakasi kutafakari juu ya hali ya ghafla ya mahaba na ukaribu anaojaribu kuuonyesha Mkuu wa Mkoa was DSM na goli kipa wa Simba Aishi Manula.. Alianza kumsifia (japo kusifia sio dhambi) baada ya mechi na TP Mazembe Congo ambapo DAB alisema kiwango cha Manula...
  19. AKILI TATU

    Chelsea vs Arsenal live streaming link

    Wazee kwa ambao hatua DSTV ..Star time tucheki zetu fainal kupitia link hiyo hapo chini Chelsea vs Arsenal | Live Streaming Link
  20. AKILI TATU

    Man City vs Watford live streaming link

    Kwa akina sie tusiokuwa na DSTV wala muda wa kwenda vibanda umiza..nimekutana na link hiyo hapo kwa ajili ya Live streaming karibuni tucheki football Man City vs Watford | Live Streaming Link
Back
Top Bottom