Search results

  1. P

    ugonjwa wa kichaa cha mbwa nisaidieni

    Pole Magu, ikiwa unawapatia chanjo ya kuwakinga na kichaa cha mbwa walau mara 1 kwa kila mwaka, basi huo ni usalama wako wa kwanza, pili yakupasa kesho asubuhi uende hospitali yoyote ya serikali iliyo karibu nawe wakutibu kidonda pamoja na kupatiwa kinga.
  2. P

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Breed nzuri itategemea unafugia wapi, ila LARGE WHITE ni favourable sana. Chakula inategemea na umri wadogo wanapewa GROWER'S MASH, wakubwa 3months kuendelea wape PIG FINISHER, NGURUWE MKUBWA ANAKULA BALANCED DIET 3KG PER DAY
  3. P

    Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?

    Nashukuru kwa mawazo yenu, japo mingine ya kejeli na lawama, ila ninachoamini mimi siyo kila mimba basi ni lazima izaliwe bali kwa maisha ya sasa yahitaji utayari wa kila kitu ili hicho kiumbe kisije pata tabu za dunia hii na sii kujaza dunia kwa kua dunia haiwezi jaa kamwe. Ni dhambi na Aibu...
  4. P

    Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?

    Preta cku nilipoenda onana na uyo dokta kwanza nilim~trust kwa kuwa nilijua amesoma na anafutata Ethics za kazi yake, hivyo kwa kua cm yangu ilikua imekwisha charge nikase namba yake kwenye cm ya mamsup then nikamflash ndipo alipoipatia namba yak.
  5. P

    Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?

    Sorry jama umeme umekatika, kumalizia ni kwamba nilimchukua mamsup had majumbani kwetu, then after 5 daya tukapima tena na mimba bado ilikuwepo, tukatafuta sehem nyingine na ilifanikiwa kutoka. sasa baada ya pale ndipo yule dokta wa awali akawa anamtext mamsup kumtaka awe nae kimapenzh, sasa...
  6. P

    Katoa mimba, dokta aliyemtoa anamtaka kimapenzi. je afanyeje?

    Wakubwa heshima mbele, Hivi karibuni mchumba wangu alipata ujauzito bahati mbaya baada ya kutokea interuption kwenye normal cycle yake, na kwa kuwa hatujajiandaa kulea kwa sasa ikabidi twende kwa mtaalamu ili ikiwezekana itolewe, tulimpata na akakubali baada ya kutuhoji na kujua nia yetu...
  7. P

    Hizi postgraduate za SUA unaziandikaje kwenye RESUME?!

    [QUOTE=Vanpopeye;Wakuu nisaidieni,hivi sua chuo kinafunguliwa lini? Tarehe 23 october, vp unaenda gonga nn pale?
  8. P

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Miluzi mingi humpoteza mbwa msimamo ni mmoja Yanga jpili anachinja mnyama simba, na hizo pesa tutabebea kwenye ngozi ya mnyama
  9. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Hakuna biashara ambayo haina risk linalotakiwa kama mtu una nia ya kufuga kuku ni kupata uelewa wa ufugaji wenyewe, na kufuata taratibu zinazotakiwa ikiwemo ushauri wa kitalaam, kwa mfano wafugaji wengi wa kuku hupata hasara kwa sababu hawafuati viz
  10. P

    Breaking News.Madereva Daladala Morogoro Wagoma

    Kinachowakera madereva hawa ni kulipishwa 300 kila anapotoka stendi, wakati hakuna huduma stendi mbovu imejaa matope, eg stand ya sua, vyoo vibovu, hiyo hela wanapeleka wapi? sasa imegeuka tabu kwa wasafiri, wagonjwa, na huduma zimezorota.
  11. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Hi JF members, Ufugaji wa kuku wa mayai unahitaji 1sq meter kuku 6, na broiler ni 1sq meter kuku 10 hadi 11. temperature ya banda at least 39 to 40 degree, air in blow iwe ndogo zaidi ya air out blow ili kupunguza amonia gas bandani. Maranda au sawdust yasipungue cm 5 kwenye floor kuavoid...
  12. P

    Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

    Ya mnato siyo bwawa bhanaaaa!
  13. P

    Chuo kikuu kipya cha kilimo Katavi, ni haraka mno

    Lyimo umesema vyema, katika harakati za serikali za kuongeza wataalam wa kilimo na mifugo (maafisa ugani) imekua ikiwasomesha kwenye vyuo vyake vya MATI na LITI, na wanahitimu huwapangia kazi ktk halmashauri zake, tatizo linakuja pale hao wataalam wanapokwenda kwenye maeneo ya kazi wanakutana na...
  14. P

    ..Grace Kingalame wa tbc1........................................

    what is so exclusive kwake? ana nn?
  15. P

    Mashine ya kukamulia Ng'ombe

    Normal human ejaculation volume is =10mls then in 100 ejaculations =1000mls. atakufa.
  16. P

    Nimeshindwa kuvumilia!!

    Ubinadam hakuna nikikumbuka tukio lililotokea kanda ya ziwa mgodini mtoto kulazimishwa kufanya mapenzi na mbwa, watoto kuhusishwa na vitendo vya kishiririkina, na hili la
  17. P

    Nitawezaje Kukabiliana na Majaribu Haya?

    Hapo hakuna kulala ni kukesha,
  18. P

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    Ni neno litumikalo kueleza hamu, uwezo na nguvu ya binadamu au mnyama kufanya ngono.
  19. P

    Duniani kuna mambo soma hii!!!

    duh! anaptikanaje i want to assist mana lazima iwake moto!!:msela:
  20. P

    hodiiii!!!!!

    hellow there the great thinkers i am in please assist mimi kuwa great thinker!!!!!!??:msela:
Back
Top Bottom