USAHIHI WA UVUMI ULIOENEZWA NA MAGAZETI YA CCM KUWA DADA WA KAMANDA MBOWE AMEHAMIA CCM TOKA CHADEMA
Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe
Huyu jamaa ana uandishi wa ajabu, yaani wa kihunu huni, mlipo hijack utaratibu wa kupata wajumbe mlitegemea nini? Warioba komaa nao tata mpaka kieleweke
Nilimskia yule mama ikanibidi nicheke maana alikua anajikanyaga tu, baadaye anasema ni haki ya raia kujilinda na kuwalinda wenzao, anasema jeshi la polisi liko imara ila amesahau raia wanadhurika na jeshi haliwakamati wahusika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.