Search results

  1. S

    Nini Hukumu ya Viongozi Mafisadi

    Watanzania wenzangu haya matatizo ua Ufisadi wa viongozi nchini mimi naona kwanza iwepo tume maalimu kuchunguzi tuhuma hizo nzito na mkosaji mambo haya yachukuliwe. 1. Kusimamishwa kazi mara moja. 2. Kutaifishwa kabisa mali zote waloiba. 3. Kuhukumiwa adhabu kali sana na kua fundisho kwa...
  2. S

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Mimi nashangaa sana , kwa nini watu wengi wanashughulika na Imani za viongozi badala ya kushughulikia nini wanatenda kwa jamii?? Tusiwe na upeo mdogo wa kutazama muhimu ni kua kiongozi anawajibika vipi ktk kazi zake (wajibu ) na tukitazama hayo Udini na ukabila hatutoviona na tutamkosoa kiongozi...
  3. S

    Kikwete Abinafsisha Serengeti N.Park kwa Wamarekani.

    Haya mapya lakini kabla ya kutoa maoni yangu ni kua nayatafiti kwanza kujua kama ni ya kweli lakini kama ni kweli basi JK anatupeleka pabaya sana .
  4. S

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Jamani mimi nadhani kua matatizo sio udini ila kiongozi kutokua kua muadilifu kwani hata kama mtu muislam au mkristo lakini anastahili kua kiongozi kwa Elimu yake basi hakuna matatizo na kama mtu atatumia Imani yake kutokua muadilifu ktk wadhifa wake basi hafai Kwa hiyo maoni yangu ni kua...
  5. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mr Freemind, Kwanza Kumbuka Serikali raia zake ni wa Imani tofauti na pia kama kuna viongozi wa Imani fulani wataka kufanya jambo ktk nchi lazima iwakilishe maoni yao ktk Serikali sasa kwa kujibu swali lako la kwanza ni kua hawawezi fanya jambo bila kuiomba Serikali ombi lao na Serikali...
  6. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Kwanza natoa shukurani zangu kwa wana Jambo kwa maoni yao . Kuhusu swala la kadhi maoni yangu ni kua katika haki za raia moja wapo ni haki ya Imani yake, sasa Serikali ina wajibu wa kuheshimu haki hiyo kwa raia zake na huku ikihakikisha kua haki hiyo haitumiwi vibaya, sasa mimi naona sio haki...
Back
Top Bottom