Search results

  1. Mkulima wa Kuku

    Tuliowahi kuweka protector aina ya liquid tupeane mrejesho wa maendeleo ya simu zetu kama zilidumu

    Mimi ya kwangu bado iko vizuri sana na kwa kweli simu haina mchubuko wowote kwenye glass. Ninavyoitesa hii simu ingekuwa zile za kwanza ingeshaonyesha michirizi, japo ni mwezi nadhani wa tatu tangu nimeweka. Silalamiki kwa kweli
  2. Mkulima wa Kuku

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Watu wa Mbagala tutapata lini huduma ya maji? Natokea kata ya Mianzini
  3. Mkulima wa Kuku

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Unataka uniambie kuwa wako kama waandishi na watu fulani hivi wanavaaga magwanda? Mwandishi wa Tza hawezi kukemea jambo kama hajaguswa mmojawa
  4. Mkulima wa Kuku

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Watz wa namna hii kwenye karne hii...suala LA chadema hapa linakujaje? Jamani mkiambiwa msome kidogo mnakimbilia kwenye kamari...haya ona sasa !!!!
  5. Mkulima wa Kuku

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Usijaribu kupotosha kaa kwenye context ya kinachozungumzwa kumbuka na we we ni mtanzania
  6. Mkulima wa Kuku

    Mimba kwa wanafunzi shuleni zaongezeka mara dufu

    Nani aliyesema kuwepo kwa vitisho au sheria husaidia kupunguza uhalifu? Ni vema kuangalia visababishi vya tatizo, namna ya kukabiliana navyo na so vitisho na sheria kal
  7. Mkulima wa Kuku

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    JF-Expert Member #1 Today at 12:48 AM "Tukiwa kwenye vikao ndani ya bunge Mimi ndo nachagua nani azungumze, mkimchagua Mtulia kuwa mbunge, akinyoosha mkono tu nitakuwa nampa nafasi kwa sababu atakuwa ni mwenzetu sio kama wale wanaomaliza mda kwa kuishambulia serikali." Dr. Dada kwenye kampeni za...
  8. Mkulima wa Kuku

    Kila kukicha kodi kwenye magari-ni ubunifu au kushindwa?

    Mwezi Julai waliposema wanaondoa road licence kwa wenye magari kuna watu walifurahi. Si mimi kwa kiwango kile kwani nilijua wanataka kutoza zaidi kwa kuweka kwenye mafuta. Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ajali za barabarani kutopungua kwa kuongeza idadi ya askari wa barabarani kwani mtazamo...
  9. Mkulima wa Kuku

    Zijue Sifa na Majukumu ya Mkuu wa Mkoa kisheria hapa Tanzania

    Na pia ana uzoefu wa zaidi ya miaka 10....????
  10. Mkulima wa Kuku

    Shikamoo tochi za barabarani

    Train ya umeme ije haraka
  11. Mkulima wa Kuku

    Jamani Trafiki Wanakera sana!

    Pole ndugu, hili tatizo ni kubwa na polisi wanapenda sana huo mchezo. Wanapata wapi kiburi mimi sijui lakini hawahusiki kwa namna yoyote na usalama wa barabarani bali wanachofanya ni ujanja (wizi) wa nguvu kwa fedha za wananchi. Alama za barabarani hazipo zinapostahili kuwepo na askari wetu...
  12. Mkulima wa Kuku

    Je Kina Sophia Simba hawaruhusiwi kwenda Mahakamani

    Kwenda mahakamani kuishitaki mahakama?
Back
Top Bottom