Search results

  1. Msichoke

    Dkt. Mwigulu: Mifumo ya kielektroniki ni muarobaini upotevu wa mapato ya serikali

    Matumizi sahihi na salama ya mifumo ya kieletroniki Serikalini, yametajwa kuwa suluhisho la kudumu katika kuziba mianya ya upotevu wa rasilimali za serikali ikiwemo mapato yatokanayo na vyanzo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa jana jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba, wakati...
  2. Msichoke

    Rc Makonda anahitaji pongezi

    Imekuwa kawaida kwa kauli au maamuzi ya Mkuu wa Mkoa kuonekana kufeli miongoni mwa Watanzania...lakini ule uamuzi wa kuwazuuia Wachezaji waandamizi wa Taifa Stars Erasto Nyoni na Kevin Yondani kustaafu kuchezea timu ya Taifa anastahili kupongezwa. Makonda aliona mbali au mwendelezo wa kauli au...
  3. Msichoke

    Kwa umaarufu wa EPL... unampa ushauri gani Samatta?

    Club ya Cardiff inaonesha nia ya kuwania huduma ya Mtanzania Mbwana Samatta. Binafsi namsihi Mbwana amalizie msimu na KRC Genk ili aanze maisha mapya na msimu mpya na asiache unfinished business pale Ubelgiji coz kuna dalili za ubingwa ili kujenga CV yake. Pia naona Cardiff wanashuka daraja so...
  4. Msichoke

    Niambie mstari gani umekushika kwenye hii ngoma mpya ya Khaligraph ft ROSTAM

    R.O.MA 1.(Watu wa Tanzania) Maafande hawaanaga peace niko Kenya nko tungi nala mrungi na polisi Usi download pornigraph kwa wifi ya msikiti. STAMINA 2.Bize natua show collabo o za nchi za kati Nashangaa unaenidisi na huna ata mchongo wa laki... KHALI 3.Ten verse ndo nachana busy grinding mpaka...
  5. Msichoke

    Wangapi mmekutana na huu ujumbe?.

    Wimbi la Wizi na Utapeli kupitia mitandao ya simu linazidi kuongezeka,Vijana wanatafuta njia nyepesi za kupiga pesa. Nimefanya study yangu ndani ya mwezi huu nimegundua hawa matapeli ni wafanyakazi wa mitandao ya simu wenyewe au wafanyakazi wanatoa mawasiliano ya mteja kwa watu wa pembeni. Ndani...
  6. Msichoke

    Nafasi za kazi Karanga Leather Industries Company Limited

    Karanga Leather Industries Company Limited (KLIC) is established and jointly owned by PPF Pensions Fund and Prisons Corporation Sole (PCS) for the purpose of developing and operationalization of the leather industry at Karanga Area, Moshi Municipality. The Karanga Leather Industries Company...
  7. Msichoke

    UCHAGUZI KINONDONI:CHADEMA kuivaa Tume ya Uchaguzi

    Meneja wa kampeni wa Uchaguzi mdogo wa jimbo la Kinondoni Said Kubenea amesema watapeleka malalamiko yako kwa Tume ya Uchaguzi wakieleza kutokuwa na imani na msimamizi wa uchaguzi huo.
  8. Msichoke

    Katambi asema CHADEMA ni sawa na Mgambo JKT, kaamua kujiunga na JWTZ

    Patrobas Katambi (Mwenyekiti alieng'atuka BAVICHA) amesema kwa picha ya kijeshi jeshi CHADEMA ni sawa na MGAMBO (hawajaiva kisiasa) na CCM ni jeshi kamili (JWTZ) ndio maana amehamia. Akizungumza hii leo katika mkutano mkuu wa UVCCM,Katambi amesema Upinzani umeshindwa kujenga Imani mioyoni mwa...
  9. Msichoke

    Nani yupo sahihi,Afande Sele au Mrisho Mpoto?

    Maneno Makali ya AFANDE SELE kutoka Instagram Kwa MRISHO MPOTO na Majibu ya MPOTO kwa AFANDE SELE... Afande Sele King - Rafiki yangu mkubwa mjomba mpoto kama ni kweli wewe ndio ulikua kinara ktk kusimamia utayarishaji wa wimbo maalumu wa kuhamasisha uzalendo kwa taifa halafu ukashawishi...
  10. Msichoke

    Inashangaza sana mtu analipa hela kuangalia mpira kwenye TV huku bado anasikiliza kwenye redio

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na mwamko kwa Watanzania kufuatilia ligi kuu ya hapa nyumbani, ujio wa Azam TV unawakusanya wapenda soka kwenye vibanda umiza hasa zinapocheza SIMBA au YANGA. Maajabu makubwa ni pale unapomuona mtu kalipia pesa aangalie mpira kwenye TV lakini muda mwingi anautumia...
  11. Msichoke

    Ukiishi kijijini hupati kazi Utumishi

    Najiuliza tu wewe kama graduate baada ya kumaliza shule umerudi kijijini kwenu huko ktk wilaya ya Misenyi (or other remote areas from DSM)...no internet services ya kujaza online Application basi umebahatika kutoka wilayani na kutuma maombi ya sekretari ya ajira. Sasa baada ya muda umechaguliwa...
  12. Msichoke

    Sikujua kama ni mke wa mtu

    Wanajamvi, Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa kukaa nae chini kumpa yanayonisibu moyoni.Kama kawaida akaniambia usijali nipe muda nikatafakari...
  13. Msichoke

    Karatasi za kuprintia A3+ na A4 zinahitajika haraka

    Nahitaji karatasi za kuprintia A3+ na A4 Mwenye nazo kwa wingi ani Pm ili tuongee biashara
  14. Msichoke

    Hii tasnia ya habari ina laana?

    Kila nikitafakari kuhusu tasnia ya habari najikuta nacheka peke yangu.. ebu wanahabari wakongwe niambie kama nchi tumejikwaa wapi hadi wanahabari wengi kuonekana si lolote si chochote mbele ya wamiliki wa vyombo. Mfano ni kisa kinachosemekana kutokea kule Mwanza mmiliki mmoja wa Radio ya dini...
  15. Msichoke

    Eti kashilila mmemmis-quote?!

    DK Josey Mwakasyuka Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa leo ndani ya TUONGEE YA STAR TV amesema kuwa waandishi wa habari wamemissquote Dr Kasilila kuhusu usitishwaji wa matangazo ya Bunge ya moja kwa moja kwenye TV..nawaza kwa kina waandishi wa bongo ni vilaza kiasi gani hadi...
  16. Msichoke

    DC kachakachua jina la Yatima

    Philimon Shelutete Dc wa Geita anatuhumiwa na Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Geita kwa kuchakachua nafasi za ufadhili wa masomo kwa ajili ya watoto wanaoishi mazingira magumu zinazotolewa na kampuni ya Mgodi wa Geita na kuweka jina la mtoto wake.Je tutafika kwa stahili hii?
Back
Top Bottom