Search results

  1. GHIBUU

    Tanzania visa fee vs other Nations (UK,Canada, USA, European countries

    Visa ya Tanzania (visit visa $50) UK visa £100 European visa ( schengen visa €80) USA Visa $185 Canada Visa $100 Pamoja yakuwa visa za nchi kigeni ni ghali sana ,wana vikwazo vingi ambavyo hata ukitimiza pia wanakunyima visa, na tayari umegharamika kama Travel insurance Booking of hotel...
  2. GHIBUU

    Usumbufu wa Mashirika ya Ndege Dar es salaam

    Ndugu Wa Tanzania Tumepokea malalamiko ya watu wa rika mbali mbali toka mwaka jana juu ya mashirika ya ndege hapo Dar es salaam wanavyo wasumbua watanzania wanao taka kusafiri kwenda nchi za nje kwa sababu mbali mbali. Vijana wanatafuta fursa mbali mbali za halal kabisa za kwenda nje...
  3. GHIBUU

    Siyo kwamba ripoti za CAG zina mpya sana, bali kuna mtu mpya ambaye ameamua kuzifanyia kazi kwa uwazi

    Ameandika: MalisaGJ Sio kwamba ripoti hizi zina mpya sana, bali kuna mtu mpya ambaye ameamua kuzifanyia kazi. Zamani zilikuwa zikisomwa zinawekwa kapuni maisha yanaendelea. Kuna watu wanadhani hii ndio hasara ya kwanza kwa ATCL. CAG aliyepita Prof.Assad amewahi kuibua hasara kubwa zaidi ya...
  4. GHIBUU

    Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

    Baada ya kufariki Makamo wa kwanza Maalim seif sharif Hamad, Kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale kuhusu ni nani atakae weza kuvaa viatu japo nusu, vya marehemu Maalim Seif, mpaka sasa majina ni mawili, Juma Duni na Othman Masoud Ambae aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya mapinduzi ya...
  5. GHIBUU

    Haki alizo pigania Marehemu Maalim Seif Hamad Sharif

    Vyombo vya habari vimekuwa vikimsifu Maalim Seif kama kiongozi alie pendwa sana na wazanzibari, kiongozi muadilifu na mwenye misimamo, kiongozi alie taka mabadiliko ya kisiasa Zanzibar na Uwongozi toka yupo CCM na hata nje ya CCM. Lkn haki hizo baadhi ni muhimu zaidi pia hazikuwekwa wazi kwenye...
  6. GHIBUU

    Moja ya Kero za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Katika kero kubwa za muungano wetu ni hizi wizara ambazo sio za muungano na kujivisha mamlaka ya Tanzania, na kutupa hasira sana wazanzibari na kuuchukia muungano huu, watanganyika eti wanaita changamoto? Monday, January 25, 2021 Hakuna mgao wa FIFA kwa Zanzibar : Karia NA MWAJUMA JUMA...
  7. GHIBUU

    CHADEMA Vs ACT-Wazalendo

    Nimekuwa nikifuatilia siasa zetu za Tanganyika na Zanzibar toka tumalize uchaguzi mkuu Oktoba 2020, kwanza nimeona mivutano baina ya upinzani na ccm hasa chadema Baada ya uchaguzi kususia kushiriki bunge la jamuhuri ya muungano Tanzania. Pia nimeona vikao vya ACT-Wazalendo juu ya kutaka...
  8. GHIBUU

    Mkapa na Mali alizomiliki

    Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Mkapa) hii ndio moja ya hotel aliomiliki, pia kuna jengo moja pale ilala limefanywa Apartments hotel na mmiliki inasemekana ni mkewe. Rais mstaafu huyu Mungu Amrehemu, katika utawala waje kumefanyika majanga makubwa moja ni kupora mali za umma...
  9. GHIBUU

    Ni kweli jeshi la Polisi haliwajui hawa Mazombi mpaka washindwe kuwakamata?

    Hivi Jeshi la Police limeshindwa kweli kuwa kamata mazombi hapa mpaka hii leo? Damu ilio mwagika kwa hawa mazombi itajirudia tena. Stay tune
  10. GHIBUU

    Udhalilishaji waendelea Kisiwani Pemba Zanzibar

    Ushenzi Udhalili shaji na Ubaguzi kwa Ccm Zanzibar ni jadi yao kuwafanyia Wazanzibari hasa Wana nchi wa Pemba. Sasa hivi Kijana Mwanaume anae shuka bandari za Pemba Wana katwa nywele kipara na ukivaa jeans na track suit zinachanwa. Badala kupambana na Corona wanakimbilia ushenzi Sent using...
  11. GHIBUU

    Zanzibar kwanini haiwezi kuchukua maamuzi magumu? 1918 iliweza Spanish flu

    Read this article: How did the Spanish Flu start in East Africa? Firstly, it is important to note that the Spanish flu had three distinct but related waves. The first was an infectious but relatively mild first wave in March-July 1918 followed the deadly second wave in August-December 1918 and...
  12. GHIBUU

    UK Results days announced for GCSE and A-level grades

    Grades for cancelled GCSEs and A-level exams in England, Wales and Northern Ireland will now be published on their original planned results days. Grades are going to be decided by teachers' assessments - with an initial suggestion that results could be issued earlier than usual this year. But...
  13. GHIBUU

    Tuwe na sauti moja ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Ndugu watanzania na wazanzibari muliopo ndani na nje ya nchi. Tumeona jitihada za viongozi wa upinzani ukidai tume huru ya uchaguzi, Sisi tunaona tume ya uchaguzi hata ikiwa huru kuna mifumo mengine inaweza kuingilia tume, kuiteka tume kama ilivyo fanyika Zanzibar Oct 2015 Badala ya kwenda...
  14. GHIBUU

    Salamu kwa Rais Magufuli

    Nakuomba Rais Magufuli hili suala la usalama wa Zanzibar kwa kupigwa ovyo wananchi likomeshe please, kama ni siasa huu sio ustarabu, viongozi wa Zanzibar hutumia madaraka vibaya baadhi Yao na Kibaya zaidi DR Shein yupo kimya Nimemsikiliza mkuu wa mkowa wa mjini magharibi mjini unguja juu ya...
  15. GHIBUU

    Hamueleweki wapinzani

    Hivi karibuni, mbunge wa mbeya ameibua hoja bungeni kutaka tume huru ya uchaguzi na matokeo ya urais yahojiwe. Kwanza wacha niseme ukweli, almost ya watanzania hawaziamini mahakama za Tanzania, wamekuwa wakitoa matamko kwamba zinaingiliwa na viongozi wa juu. Kuna watu walipata nafasi kupeleka...
  16. GHIBUU

    Tetesi: 5g network ndio Corona

    Kuna tetesi ya kwamba 5g network imeleta madhara makubwa, na Hilo suala la 5g zaidi ya mwaka wataalamu waliomba lichunguzwe kwanza kwa madhara kwa mwanadamu na viumbe. Vipi madhara yake 5g network inasemekana ina high radiation, kuna miji hapa Uk ambayo ipo karibu na na minara hii ya 5g...
  17. GHIBUU

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yakana kufunga mipaka

    Ninacho shangazwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hawa Mawaziri wake, kila mmoja kuja na matamshi yake huku serikali ikikana huku waziri wa utalii kupiga marufuku ndege yoyote kuja . Waziri wa afya Hamad Rashid nae amekuwa akitoa matamko yake pamoja na serikali ya mapinduzi ya...
  18. GHIBUU

    Tanzania itakwenda kuchukua Raia wetu China?

    Nchi ya Uingereza leo hii inategemea kuchukua raia wake huko China Mke wangu anajaribu kuridhia sisi tuondoke lakini kwakweli ana wasiwasi. Virusi vya corona ambavyo vimesababisha maambukizi zaidi ya watu 7,711 na wengine 170 wamefariki nchini China,vivyo hivyo familia zinalazimishwa kutengana...
  19. GHIBUU

    Ujumbe huu uwafikie Watanganyika

    Naamini ipo siku mtaamka, msikilize kwa makini ujumbe mzito
Back
Top Bottom