Search results

  1. B

    Forever Living!

    Saimon111: Kiri kuwa business ilikushinda, ndo yaleyale nkiosema mwanzon kuwa tunatafuta visingizio kuhalalisha kushindwa kwetu...........hii business hata mtu wakawaida kabisa mweny mtazamo chanya anaifanya coz haiangalii background, elimu, kabila au chochote, suala ni kama kwel unataka...
  2. B

    Forever Living!

    Fransis the Don: Eti Rubbish, anyway ni mtazamo wako (ila kumbuka kuna habar walitoa ITV kuhusu yule mwanafunz aliemeza sumu akiwa shule akiomba msaada wa kupatiwa bidhaa ya forever ili aokoe maisha yake na alishauriwa na daktari wake, akapatiwa na members na leo yupo...
  3. B

    Forever Living!

    Kashesho. Mchina hawez kuchakachua, ndo maana bidhaa zinapatikana sehemu moja tu Quality Plaza na muda c mrefu zitahamishiwa jengo jpya millennium towers. Hii ni kuhakikisha kuwa zinakaa kweny ubora unaohitajika (room temperature) mpk kumfikia mtumiaj, na kama co member hupat,lazma uzipate...
  4. B

    Forever Living!

    ADK Tell them brother, shuhuda za ubora wa product ni nying mno. Kama hawajui ni kuwa madawa ya hospitali ni biashara za watu, bidhaa za FLP ukitumia vzr magonjwa mengi utaeka pemben (na sio dawa ni virutubisho), mi mwenyew ni shuhuda kwangu mwenyew na ndugu zang, kwangu mm FLP ni zaid ya...
  5. B

    Forever Living!

    Francis Da Done: Labda nikusaidie uelewa kdg..........network marketing hawatangaz bidhaa zao kweny chombo chochote cha habar, wala mabango, na aina yoyote ile ya utangazaj. Hata hao unaoona wanaweka matangazo ya products kwenye facebook ni makosa coz ni nje ya policies za network marketing...
  6. B

    Forever Living!

    Matawi thank for your concern, Kama ni elimu nimeitoa sana, soma post zang kwa utulivu wa kutaka kuelewa utaona all my points na kujaribu kuielezea FLP kwa best of my knowledge about it. Nakir pia kutumia maneno ya kejel na kushambulia, ila ni kwasababu moja kuu, waliokuwa wanajibu hoja zang...
  7. B

    Forever Living!

    Mkuu endelea kutumia bidhaa unazomudu kununua, ndo maana soda mbagala ni 600 na serena ni elf 5, mbona hilo husemi. Makampuni ya madini yanaondoka na sh ngap bongo. Kumbuka kuna tofaut kubwa sana kati ya Price and Value Bidhaa za FLP zina value kubwa sana, uliza watumiaj wazur watakwambia...
  8. B

    Forever Living!

    Kwa maneno ya yakipuuz unayoandika unaonyesha ni jins gan unaumia kwann co ww unatengeneza hcyo vipato............kwa kukusaidia tu ni kwa sababu hujataka kubadilika (mind set), umejaa mawazo hasi, kifupi ushakufa tunasubir tu watangaze tuje kukuzika (kama hujui ni kwamba binadamu anaanza kufa...
  9. B

    Forever Living!

    The Don naomba upeleke haya madai yako mahakaman, maana kwa maelezo yako FLP icngekua hapa ilipo!!! Ww endelea kubwabwaja huku wadau wanakamata fursa!!! Ntarud kesho kutoa ufafanuz wang wa mwisho kabisa!!!
  10. B

    Forever Living!

    Mabagala i hope uko vzur, Huyu mpuuz anadai toothpaste lak moja na kitu, ww ni mtumiaj hebu mueleze. Na cjamwambia ajiunge lakn cjapenda upotoshaj wake wa wazwaz huku hana facts zozote, zaid ya blah blah za vijiwe vya kahawa!!!
  11. B

    Forever Living!

    suala co wengine wanaichukuliaje................suala ni ww mwenyew coz maisha ni ya kwako huish kulingana na wngine wanaonaje jambo fulan, unaonesha ni jins gan ulivo na akil ndogo kk, mpk kila mtu aseme ndio na ww ndio ufanye, kwa attitude hyo nafikir maisha yataendelea kuwa magumu kwako. Sio...
  12. B

    Forever Living!

    Hahahaha.............umeanza kuleta pumba zingine, ikifika miaka 50 cjui utasema mingapi, baki na mawazo mgando yako, huku watu wanatengeneza future mbulula ww, na cna haja ya kukuckiliza (nafikir na wengine pia) coz huna chochote cha mtu kujifunza. wanasema ''Dont take advice from people who...
  13. B

    Forever Living!

    Ni kwel inawezekana nimelogwa (kama kulogwa ndo huku bas niendelee tu kulogwa). Hapo kip hakijaeleweka au nitumie lugha gan???
  14. B

    Forever Living!

    Yah ni kwel kila mtu atumia akil yake kufanya maamuz..............umesema unachokijua (ukifikir unajua) Kuna utafauti mkubwa sana kati ya Knowing the path and walking the path, knowing the business and doing the business Am doing the business, ww upo nje ya system hujui kinachoendelea hata...
  15. B

    Forever Living!

    FRANCIS THE DON, maelezo nilitoa kuhusu anayodai hapo jamaa yanatosha sana, yy anazunguka tu mbuyu hana jipya kabisa.............nimetoa link kaziangalien. Au ingia google uulize kama FLP ni pyramid scheme utapata majibu (mi nmefanya hvo last year kabla cjajiunga coz nlikua na mawazo kama...
  16. B

    Forever Living!

    Sawa mm fisi mzee(lakin wakiume)........ Kwanza kabisa dawa ya meno kwa member ni elf 9, kwa non member ni 13,500, ongea facts acha kurukaruka kama pop corn kwenye kikaango, ww endelea kutumia hzo za elfu mbil mnazohongwa na miswak juu, huku sio ghal ukwel ni kwamba YOU CANT AFFORD endelea...
  17. B

    Forever Living!

    Mkuu ndo maana nkasema, siongei haya ili ujiunge lakin naongea haya ili watu wajue ukwel about FLP................guys in the next 5 - 10 years kuna ambao watakua wanatengeneza kat ya 50 - 100m kwa mwezi ndan ya FLP, sijui mtajificha wap, afu kibaya zaid nyie bado maisha yatakua ni yaleyale ya...
  18. B

    Forever Living!

    Mkuu Francs the DON kwanza nkushukuru kwa kuniita mbwa, it shows how mean u r, ckutukan coz co kaz yang na nkikutukana ntaonekana mpuuz zaid yako Sasa kwa maelezo yako hapa chini sijui unataka nkufafanulie kip coz maelezo yenyew yanajitosheleza kama kiingereza unakielewa vzur, kwa kukusaidia...
  19. B

    Forever Living!

    Tatizo co bei..........suala ni quality ya products zao. kuhusu kuwa walipa kodi wakubwa ni ukwel kabisa,kuna mwaka walilipa kodi zaid ya bakhressa ktk mkoa wa Temeke, kwa sasa wanahamia kinondoni i think ndo watakua wanaongoza kwa ulipaj wa kodi ktk mkoa huo. Na kila mwaka wapo katika top 100...
  20. B

    Great thinkers complicate things

    Open the refrigerator, put in the giraffe, and close the door.
Back
Top Bottom