Search results

  1. fuu xkuz

    Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Hakuna timu yenye fixture nyepesi kwenye hao top 3…awe city,livarpool wala arseanal wote fixture imebana..atakaechanga karata zake vema annyanyua kwapa
  2. fuu xkuz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hii timu inalaana ya ronaldo sio bure
  3. fuu xkuz

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii nikwasimu zote? Namaanisha hata wa IOS wanaweza tumia hii huduma?
  4. fuu xkuz

    Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

    Mabango mawili tu povu na chuki kiasi hiki,yangewekwa nchi nzima kama walivokusudia sungeua fans wa yanga unaopishana nao mtaani?..manake macgapisho yako yote humu huyan hoja ya devaluate yanga kwenye hiyo orodha zaidi yachuki zako binafsi kwa timu?
  5. fuu xkuz

    Yanga yaingia top 5 ya tuzo za club Africa CAF

    AFL inaingiaje hapo?Hizo nitakwimu za msimu ulioisha,je mamelodi alikuwa bingwa wa AFL msimu uliopita??
  6. fuu xkuz

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Red card kwa viera dk 83
  7. fuu xkuz

    FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Hii game viongozi wa simba hawawezi kubali kupoteza kwa ajili ya kilurudisha imani kw mashabiki,tena wanashinda gori nyingi[emoji3578]
  8. fuu xkuz

    Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

    Kuna namna tunatakiwa kureview hiki kitu kilichopewa jina la dini maana…
  9. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Usiwasau wacongo ni ndugu zako pia
  10. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Inawezekana kuna kitu hatukijui karibu mataifa yote afrika madaraka yanagombaniwa lakini hatuoni hali tunayoiona CONGO
  11. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Mimi nimeandika hoja zangu kwa kuzingatia misimamo mbalimbali inayoendelea huko duniani,most based on africa. Kuwepo/kutokuwepo kwa Mungu haikuwa core concept yangu. Though naheshimu sana mtizamo wako katika hili na ningependa tuendelee kuelimishana katika hili
  12. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Baunsa muoga bila shaka nahili umeliogopa[emoji119]
  13. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Kunahaja ya kurudi nyuma na kureview haya masuala ya dini..watu watambue mipaka ya udini na mambo mengine ya kitaifa and other else
  14. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Kama kuna ukweli hivi
  15. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Umeibukia mbali sana mkuu,tujadili kuhusu haya yanayoendelea kwa sasa na sio uwepo/kutkuwepo kwa Mungu
  16. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    [emoji1666]
  17. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Huu ni ugojwa wa afrika na nazidi kukomaa siku hadi siku
  18. fuu xkuz

    Waafrika ni Watu wa ajabu

    Sijatukana mkuu
Back
Top Bottom