Search results

  1. CalvinD

    Msaada juu ya mkataba hadaifu

    wakuu naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya huyu mdogo angu ambae ni muajiriwa wa taasisi ya umma, alijaza mkataba wa mkopo kutoka taasisi fulani na maafisa wa iyo taasisi akaambiwa kipengele cha deni kuu na muda wa mkopo kuisha utajazwa baada ya kuongea na mwajiri wake lakini cha kushangaza...
  2. CalvinD

    Msaada, mtoto wangu anaweza kupata ulemavu kutokana na uzembe wa madaktari wetu

    Wakuu naandika huu uzi nikiwa na majonzi makubwa sana, naomba niende moja kwa moja kwenye mada mwezi wa 8 tarehe 15 mke wangu alijifungua kwa shida sana katika hospitali ya serikali kwa njia ya mkasi, kutokana na uzembe wa madaktari kuchelewa kumfanyia operation kwa haraka, mtoto alimeza maji...
  3. CalvinD

    Natafuta Mwenza wa kikie

    Wasifu wangu Umri: 28 Dini: mkristo Kazi: Nimeajiriwa Natafuta mpenzi baadae awe mke umri kuanzia miaka 26 kushuka chini , awe ameajiriwa au awe na shughuli ya kumuingizia kipato, atokee mikoa ya pwani au kanda ya kaskazini Aliye tayari ani pm
  4. CalvinD

    Msaada simu ya samsung galaxy j3(2016)

    Wakuu naomba msaada jinsi ya ku move apps ziende kwenye storage ya Sd card badala internal memory
  5. CalvinD

    Hii ni sawa? Sote tuna mishahara sawa ila unaotumika ni wangu tu

    Wakuu mimi ni kijana niliyeajiriwa. Nimebahatika kupata msichana aliyeajiriwa serikalini, tunaishi pamoja huku tukipanga kufunga ndoa hapo baadae. Mishahara yetu inafanana kwa kiasi kikubwa(500,000). Tatizo langu wadau ni kwamba inapofika mwisho wa mwezi huwa natoa mshahara wangu wote kwa ajili...
Back
Top Bottom