Search results

  1. B

    Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010

    Hivi!! Waislamu hawana wasomi? Au linapokuja suala la dini, usomi hautumiki? Eti 'nusu kwa nusu'! Kwanza marais na makamu wao wote ni waislamu, mihimili mikuu miwili kati ya mitatu ya nchi hii ni wao, mawaziri wengi ni wao, hadi manaibu wengi ni waislamu, makatibu wa wizara, mikoa, wilaya na...
  2. B

    What the Man think the most!

    Kwa mwanaume anayewaza jambo hilo zaidi ya mambo mengine atakuwa hana 'urijali'! Kama, mke ni wako kwa nini umchungulie wakati wa kuoga? Great thinkers wangesema 'muda mwingi mwanaume anawaza atoke na nini kesho ili aache jina kesho kutwa'! Mwanaume wa ukweli anatoa priority kwa vitu ambavyo...
  3. B

    Be the one!

    can the mouth speak of what is not in the mind? Naogopa sana hiyo 'welcome' yako. Tujenge nchi jama!
  4. B

    Be the one!

    wa siku zote ila kaanza leo!
  5. B

    Wanaume Nisaidieni

    Kwanza naamini unamaanisha 'wanaume wengi', then nakuja kiivi: 1. B4 sija DO nae(kutokana na alivyo kimuonekano) nakuwa tayari nshajenga picha yangu atakuwaje ktk bed! Hapo napata 'hisia' za kuwa naye, kwamba nampenda au namtamani, hilo ni suala jingine! Nikikuta kama nilivyohisi that's my...
  6. B

    Ukiambiwa hivi utaanzaje?

    Very easy! Kuanza tu: ningeanza hivi "kwani we umeshawahi kutongozwa"?
  7. B

    Only for Great Thinkers....

    Everything with its begining must have an end! Truth is one but modalities to explain it may depend on the context. True Love: every love(as to your context) is true in itself and can't be otherwise!
  8. B

    Be the one!

    Yes members!! I am the only I am and you are yourself in the self. Only the truth will make you yourself. Tuseme ukweli maana ni kwa huo tu ambao hata maadui wengi huunganishwa, regardless time!! There is only one truth and can't be changed!!
Back
Top Bottom