Search results

  1. A

    Natafuta muuzaji wa mwani Arusha

    Mkuu kuna jamaa wanalima Pemba. Labda nikuulizie bei. Changamoto nayoiona ni kuitoa Pemba mpaka Arusha.
  2. A

    Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    Huu uzi una manufaa sana. Naomba kujua kama kilosa panafaa kwa kilimo hiki.
  3. A

    Nguruwe bei poa...MOSHI

    mkuu ungeweka picha ingekuwa nzuri zaidi. Na kama mtu anachukua wengi mfano 10 na kuendelea bei inakuwaje. Pia naomba kujua nguruwe walipo, maana moshi kubwa
  4. A

    Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Mkuu Lumumba, Nashukuru kwa uhamasishaji wako mzuri. Nania ya kuwekeza kwenye korosho kuanzia eka 30 mpaka 100 kwa lengo la kupanda kila mwaka sio chini ya eka 20 kama Mungu akinipa nguvu. Naomba kujua mambo yafuatayo mkuu; 1. Wapi panafaa kwa uwekezaji huu kati ya Lindi na Mtwara (hapa...
  5. A

    Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Naona watu tunajibu swali gumu kwa hoja nyepesi sana ambazo hazina mashiko. Wote tunapenda mabadiliko kwa manufaa yetu na vizazi vinavyokuja, ila swala la E.L kuingia Chadema limeleta sintofahamu kubwa sana. e.g Mnyika kupotea na kurudi zimetolewa kauli zenye kijikanganya sana; - Mara...
  6. A

    Joto la mapenzi

    asante mkuu... tunasubiria toleo lijalo.
  7. A

    Dkt. Magufuli akagua daraja la Kigamboni

    Big up magufuli. wewe ni jembe, i wish ungekuwa waziri mkuu.
  8. A

    Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

    Wakuu dola imeshuka kutoka $1=2400 mpaka sasa imefika $1= 2000. Hii ni mpaka Leo jumapili tarehe 28 June 2015. Natumaini itaendelea kushuka kama sio nguvu ya soda.
  9. A

    Natafuta tender (kazi) za inventory

    mkuu mnayo website angalau tupate idea zaidi ya mnachofanya au tupe hapa machanganuo wa kazi.
  10. A

    Shamba la hekari 500 linauzwa

    mkuu hilo shamba bado lipo, ni pm mkuu
  11. A

    Shamba la kupanda miti ya mbao/nguzo za umeme linauzwa - Iringa

    Mc Ras Paroko naomba uni pm namba yako mkuu, niliku pm kama wiki mbili zilizopita naona hukupata msg yangu. Thanks/
  12. A

    Ardhi na mashamba yenye miti ya mbao yanauzwa hapa

    Ndugu lenye Miti ya miaka 7 hadi 10 ni bei gani? Na hiyo miti ni ya aina gani na ya miaka mingapi hadi kuvuna
  13. A

    8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

    Ngasa kawa mtamuu!!😄😄
Back
Top Bottom