Search results

  1. Kadu

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Gazeti la mwanahalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana kutokana na habari zake za uchochez. Source:dira ya mchana tbc1!
  2. Kadu

    Nimesoma pcm,nitafanyaje nisome biology ya a-level?

    Kwa nini unataka kusoma medicine?Ukitoa sababu nitajua jinsi ya kukushauri.
  3. Kadu

    Mikutano ya (CHADEMA) kuendelea baada ya hali kuwa shwari

    Good news, maana magamba hawakawii kulitumia hilo tukio kuzuia mikutano ya CHADEMA Peoooooooooooplez Poweeeeeeeeeeeeeer
  4. Kadu

    Joshua Mulundi, aliyedaiwa kumteka Dr. Ulimboka akana mashtaka Kisutu

    Aliyemteka Dk Ulimboka akamatwa, atinga kortini Saturday, 14 July 2012 07:28 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Suleiman Kova ADAIWA KUWA NI RAIA WA KENYA, ALIKODIWA Waandishi Wetu, RAIA wa Kenya, Joshua Mulundi (21) amekamatwa...
  5. Kadu

    "Uchekibobu" unawaponza madaktari nchini Tanzania.

    Wewe Imani Kondo mbona unakua sio muungwana kiasi hicho.ukienda kwenye page ya MAT facebook unajidai unataka kusaidia interns, kumbe mnafiki tu unataka kutumia huu mgogoro kwa manufaa yako ya kisiasa.Unanisikitisha sana sana.Your too ambitious, uko hata tayari kuuza utu na proffession...
  6. Kadu

    Madaktari hurudisha fedha walizopewa kama mkopo kwa HESLB?

    Madaktari wanakatwa kama kawaida, tofauti ni kuwa wanapata mkopo 100%. Hiyo habari kwamba wanasomesha bure ni propaganda dhaifu za magamba na makuwadi wao
  7. Kadu

    Kutoka vipele kwenye uume

    Inaweza kuwa secondary sphyills(Kaswende hatua ya pili) Kacheki vipimo kama VDRL, then utapata matibabu
  8. Kadu

    BAKWATA v/s CHADEMA ilikuwa Igunga, sasa BAKWATA v/s MAT

    Bakwata wanatumiwa na Magamba
  9. Kadu

    MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    Umeongea point kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu
  10. Kadu

    MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    MGOMO:Madaktari 319 wafutiwa leseni Waandishi Wetu BARAZA la Madaktari Tanganyika limewafutia usajili madaktari wote waliokuwa katika mafunzo ya vitendo (Internship), baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mgomo wakiwa kazini.Taarifa ya Baraza hilo iliyotolewa Dar es Salaam...
  11. Kadu

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake =======
  12. Kadu

    Madaktari waipiga changa la macho serikali

    Duuh yaani unajiita great thinker wakati huwezi kuchambua mambo, au umetumwa na magamba.Shame on you
  13. Kadu

    Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Imani Kondo 'Zemacopolo" wewe daktari mzima unakuwa mnafiki.Unaelewa nini kilichojadiliwa, halafu unasema haujui contents.Unalipwa na nani kuirudisha nyuma harakati hizi muhimu?Au sababu ulisomeshwa bure Czech?
  14. Kadu

    Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Imani Kondo 'Zemacopolo" wewe daktari mzima unakuwa mnafiki.Unaelewa nini kilichojadiliwa, halafu unasema haujui contents.Unalipwa na nani kuirudisha nyuma harakati hizi muhimu?Au sababu ulisomeshwa bure Czech?
  15. Kadu

    Usifungue kama hukupata atleast "c" ya hesabu form 4!!!

    Mistake, numerator manipulation at step 3 and 4, 102_102 is not equal to (10+10)(10-10) uliyoichomekea kwenye step 4, thats the big mistake
  16. Kadu

    mgando kutoka ukeni

    Hiyo ni fungus ya ukeni(vaginal candidiasis) Cause: Recent use ya strong antibiotics, ikaangamiza normal bacteria flora wa ukeni na kusababisha excessive growth ya fungus: Tiba; Clotrimazole pessaries{anti-fungal za kuweka ukeni} wakati wa kulala, kwa siku sita. Kinga: Epuka kusafisha ukeni na...
  17. Kadu

    Agenda ya chadema baada ya uchaguzi mkuu wa mwka 2010

    We magamba huchoki kurudia thread ya kipuuzi kama hii? Hebu nenda kavuliwe gamba na bosi wako Nepi
  18. Kadu

    Ilani ya chadema baada ya uchaguzi mkuu

    Nonsense!Nenda kavuliwe gamba huko na Nape...foolish!
Back
Top Bottom