Search results

  1. valent

    Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. valent

    Nina solar panel watts 100, betri N75 na charge control lakini inashindwa kusukuma screen inch 55', shida nini wakuu?

    Hebu tusomee na utuandikie hapa watts za hiyo tv, kipaza sauti, na hiyo speaker(watts za speaker usisome palipoandikwa PMPO, soma palipoandikwa RMS. Wachina ni wajanja sana kwenye lugha zao za kibiashara. Watts kwa RMS value ndo sahihi kwa calculations za speaker na pia kama mtengenezaji ni...
  3. valent

    Nina solar panel watts 100, betri N75 na charge control lakini inashindwa kusukuma screen inch 55', shida nini wakuu?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizo ndo zile speaker za kichina ambazo ziko na amplifier zake ndani ya box. Yaani utaona maandishi ni makubwa, eti 30,000w wakati Kiuhalisia ukipima hata mfumo wake wa umeme haukidhi kuzalisha hata watts100. Hata ukiamua kupima physically na kufanya...
  4. valent

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Mkuu, yaani hapa hakuna kupindisha maneno. Huo mkopo ndani yake una riba ya asilimia 80 na sio salama kwa uhai wako. Achana nao, usijaribu kuthibitisha kama sumu inaua kwa kuinywa kabisa!...
  5. valent

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Mkuu, mbona hiyo milioni 40 ya juu ni riba ya asilimia 80 ya huo mkopo unaotaka kuuchukua? Kama riba ni asilimia 16 ilitakiwa jumla ya pesa unayohitaji kuirudisha iwe ni shilingi milioni 58 kwani asilimia 16 ya shilingi milioni 58 ni shilingi milioni 8. Au mimi ndo sijaelewa hapo? Hiyo milioni...
  6. valent

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. valent

    Wanajeshi wa Israeli wazingira hospitali yenye handaki ambalo ndio makao makuu ya HAMAS

    Kafiri ni mtu yeyote asiye wa imani ya dini yako. Yaani kwa wewe muislamu mkristo kwako ni kafiri na kwa mkristo, wewe muislamu kwake ni kafiri pia
  8. valent

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Pole sana mkuu wetu, Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu kwa afya yako. Aamen
  9. valent

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Asante sana kwa stori tamu namna hii. Baraka zizidi kumwagika juu yako mkuu Bishop Hiluka
  10. valent

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Shukrani sana mkuu Bishop Hiluka kwa burudani hii murua kabisa, ubarikiwe sana
  11. valent

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Yaani ni kitambo hatari mkuu
  12. valent

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Hahhaha
  13. valent

    Nina hakika hili lilishakutokea hata wewe

    Amina mkuu, ubarikiwe kwa wema ulioutenda. Kwa kawaida maisha haya tunayoishi hatuwezi kujua kesho yetu itakuaje na ni Mungu pekee ndo ajuaye kesho yetu na anatulipa kwa wema tunaoutenda hata kama ni kidogo kwa namna ya pekee kabisa
  14. valent

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Hahhaahaha mkuu Litro tuendelee tu kusubiri. Hakuna namna
Back
Top Bottom