Search results

  1. dong yi

    FIFA wanaua soka, Kila timu inayoshiriki kombe la dunia la vilabu kupewa takribani shilingi bilioni 130, Mpira wa Afrika unaenda kuwa farmers league

    bajeti ya ahly ni dola milion 100+ kwa mwaka! hizo dola mil 50 wala haziwafanyi wao kuwa bora zaidi kutuzidi, afrika hii timu zijitahidi kufanya scouting, wachezaji wazuri ni wengi sana! simba na yanga ingekua zinajiendesha kisasa zina uwezo wa kutengeneza mapato zaidi ya 20b kwa mwaka, kiasi...
  2. dong yi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hivi Napoli siku hizi wanatumia kikosi b au ni kile kile cha kwanza? wanafanya hii kazi iwe ngumu kila siku, kana wanafungwa bora wawe wanafungwa mengi sio kagoli ka 1 yu[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
  3. dong yi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hawa ndio wanaofanya bettinh kama biashara!
  4. dong yi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    siku za karibuni kila nikiweka mkeka gane ya kwanza inachana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... jana cr belizou leo Azam, weekebd leeds,
  5. dong yi

    Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    mkuu inaonekana kuna vitu vingi hujui, amerika ya kaskazini yote, australia na hio israel kote huko hao ni walowezi wa kiingereza,.... pale amerika ya kaskazini wameua sana wenyeji ili wao wamiliki ardhi ile, kule australia pia wameua sana wenyeji, wale unaowaona ni walowezi wa kiingereza! hao...
  6. dong yi

    CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

    bahati mbaya unaweza shinda ligi ila usishiriki AFL...... imagine azam ashinde nbc pl, hawezi shiriki AFL kiukweli CAF ya Motsepe inalenga kuua ligi za ndani, ndio mana ulaya walikataa hii kitu, hili shindano la AFL litakufa ndani ya miaka 5 ijayo! vilabu vingi vitapiga kelele....... soka la...
  7. dong yi

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    kwani kuna wanaume huwa hawawezi kuwanunulia wake/wapenzi wao chuki, tight na bra kweli......? mke wangu huwa namnunulia hadi pads, na wala sioni aibu......
  8. dong yi

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    huyu mama mauchafu yake watu wanayatumia kum-blackmail, ndio mana watu wanajifanyia wanavyotaka na hana cha kuwafanya! hujiulizi kwann waarabu wanamfanya watakavyo?
  9. dong yi

    Kuna tofauti ya kutukana na kuonesha hisia za kuudhiwa na uovu au ubaya uliopindukia

    hivi zile anazotoa yule dada ni kashfa au ni siri za watu? kama ni kashfa anakosea sana, lakini kama ni ukweli basi hana kosa, maana ofisi ile haipaswi kukaliwa na.mtu anaefanya yale!
  10. dong yi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    toka klop atangaze kuondoka, game zetu zimekua na tension sana, ushindi wetu haujawa wa kuridhisha katika game nyingi tulizoshinda...... siku za karibuni ndio imekua chamgamoto zaidi, tumekua tukipata ushindi wa 'kubahatisha sana' thank you jurgen, tutakukumbuka kwa mengi.....
  11. dong yi

    Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    kilichomsaidia mmarekani pia aliingia kwa kuchelewa, pia ww1 hakupigana! dunia watabe wa vita tukiongea kiuhalisia ni uk, germany, france, russia na japan........ unaweza kumtoa france hapo, ila hao majamaa wa ulaya watatu na huyo mjapani wamepigana vita nyingi sana! US ni mchumba tu, hajawahi...
  12. dong yi

    Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    saizi mongolia kawekwa mtu kati, upande huu urusi na huu china, hapakani na nchi nyingine zaidi ya hizo mbili
  13. dong yi

    Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    alaska ni sea route, hata route ya finland sio nzuri kumvamia rusdia.... route rahisi na inayompa adui %age kubwa ya ushindi ni kuivamia russia kupitia ukraine TU...... ndio mana kwao ukraine ilikua ni redline, hawapo tayar adui aweke base zake ukraine, watapigana mpk kufa!
  14. dong yi

    Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    masahihisho, heinrich himmler kuna ushahidi hakukamatwa, jamaa alitoroka,,,, tafuta kitabu kinaitwa the 'unlikely dealth of heinrich himmler' , kitabu kizuri sana, hitler pia hakuna ushahidi kama aliuliwa/kujiua.... inaonekana alitoroka!
  15. dong yi

    Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Russia alipigwa na japan baada ya kujichanganya kupambana front 2, afu logistic kutoka st Petersburg mpk mashariki ilikua shughuli sio ndogo, alikua na jeshi dogo eneo hilo....... sema Russia ni nchi ya ajabu sana, kuhusu Japan vijamaa vimefanya ukatili mkubwa sana pande hizo za Asia, China...
  16. dong yi

    Waislamu walikuwa na nchi kubwa tatu Libya ya Gaddafi, Iraq ya Saddam Hussein na Iran. Imebaki na Iran tu

    its too late kuimaliza Iran, kosa lilikua ni kuitumia Ukraine kupambana na Russia....... hii imemlazimisha Russia kujenga ushirika na Iran,....... yeyote atakayepigana na Iran kwa sasa atalazimika kupambana pia na Urusi, na ukumbuke hakuna nchi itakayoruhusu ardhi yake itumiwe kumpiga Iran...
  17. dong yi

    Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    huyu raisi ni mpuuzi sana, unaingia kwenye vita (ambayo kulikua na uwezekano wa kuiepuka) kwa kutegemea misaada? zele either ni puppet au hajui anachofanya!..... unajimwambafai kwa kutumia vifaa vya kupewa?
  18. dong yi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kazi namdai 30k yangu, vinginevyo ningeachana na hii biashara[emoji23]
Back
Top Bottom