Search results

  1. Sumti

    Kubamba kwa Klabu ya 40-40 ya Tabata kumeisha?

    Habari zenu wakuu humu jamvini. Nisiwachoshe wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Muda huu naandika uzi huu nipo hapa Forty Forty Tabata Bima, ila kiukweli watu tuliopo hapa ni wa kubesabu pamoja na weekend yote hii. DJ anajitahidi kushusha vitu vya maana kabisa lakini ndio hivyo, ni...
  2. Sumti

    Muda umefika wa Chadema Kuongoza Nchi

    Habari wana JamiiForums Niende moja kwa moja kwenye hoja. Naona muda muafaka wa upande wa pili kuongoza Nchi ni sasa. Na hii tuanze 2019 ktk uchaguzi wa serikali za mitaa na baadae tunyang'anye wabunge kwa 60%. Suala la msingi tu ni kujiuliza, nani abebe bendera ya CHADEMA na kuuzika kwa...
  3. Sumti

    President Magufuli, Ethiopia Diplomat, Ghana First Lady Win Africa Prestigious Awards

    Sina haja ya kueleza, kila kitu kinajieleza hapo. Hongera sana Rais wetu mpendwa JPM. Africa inakutambua na Dunia pia inakutambua. --------------- Tanzanian President John Magufuli has won in the maiden edition of the 2017/18 Africa Prestigious Award on the category of “Excellency in...
  4. Sumti

    Mwalimu Nyerere hakudanganya kwa hili

    Mwalimu aliona mbali sana. Tayari aliona watu ambao baada ya uhuru wetu wangejitokeza kuungana na mabeberu katika kuzamisha uhuru na maendeleo ya kweli. Haya mambo sasa tunayaona kwa baadhi ya vyama vya siasa ambavyo baada ya kukubali kutumiwa na mataifa ya nje wameamua kuvuruga amani ya nchi...
  5. Sumti

    Nimetoka kifungoni, nisamehewe na Vijana tuijenge Nchi yetu

    Ni takriban wiki nimekula BAN la nguvu kwa mjadala uliokuwa unamhusu Mh. Tundu Lissu. Mimi kama kijana mwenzenu, nashukuru kwa kurudishwa tena jukwaani na kuomba msamaha kwa lile lililotokea. Rai yangu kwa wanajukwaa wote ambao tunajipambanua kama the great thinkers ni tujeni Uzalendo kwa Nchi...
Back
Top Bottom