Search results

  1. Pilipilihoho

    Siku za mwizi ni arobaini

    Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya udokozi sana huko Tarime. Siku moja jamaa alivunja mlango na kuingia kwenye nyumba moja. Akaingia stoo akaona vinyama vikiwa kwenye bakuli vimekaushwa. Akaonja kimoja akaona kitamu na kina chumvi chumvi! Jamaa akaamua kuvila vyote na alipomaliza kuvila akaangalia...
  2. Pilipilihoho

    Chupi Yamwumbua Masai

    Masai mmoja alikuwa anasafiri kwa basi kutoka mkoa fulani kuelekea mkoa mwingine. Siku hiyo ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuvaa chupi kitendo kilichomfanya awe anaionyesha onyesha sana kwa watu ndani ya basi! Ghafla alibanwa na haja kubwa hivyo akaomba basi lisimame ili akachimbe dawa! Eneo...
  3. Pilipilihoho

    Fisi ni fisi tu

    Demu mmoja wa kusoma alimwona kijana mmoja mzuri sana katika kituo cha daladala. Yule binti bila kuvunga akaamua kumfuata yule kaka ili amweleze hisia zake, “…wewe kaka ni mzuri, nimekupenda ghafla…” Jamaa akiwa katika taharuki iliyoambatana na mshangao mkubwa sana alijikuta akimstaajabia binti...
  4. Pilipilihoho

    Chicken Wings zilizopakwa Mayai

    Mahitaji Vipapatio vya kuku kilo 1 Yai 1, pasua na vuruga Kikombe 1 cha unga wa ngano, kwa kuweka utando (layer) juu ya kuku Kikombe 1 cha siagi (butter) Mahitaji ya sauce Vijiko 3 vikubwa vya soy sauce Vijiko 3 vikubwa vya maji safi na salama Kikombe 1 cha sukari ½ kikombe cha white vinegar ½...
  5. Pilipilihoho

    Dogo mmoja baada ya kurudi shule akawa anaongea na baba yake

    DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo? DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya. ungekua wewe ungemjibu nini?
  6. Pilipilihoho

    Acha Maswali Yasiyo Ya Msingi

    Jamaa mmoja kwa kupenda vya kunyonga siku moja aliingia choo cha stendi bila kupenda. Tabia yake ya kuuliza maswali yasiyo na msingi ilimtokea puani na kumwacha mdogo kama kanyeshewa mvua ya mawe. John: Cuzo, nasikia siku hizi unafanya kazi bakery. Cuzo: Ndiyo, nafanya job kwa bakery bana...
  7. Pilipilihoho

    Keki ya mayai, vanilla na maziwa

    Mahitaji Kikombe 1½ cha unga wa ngano (kama gramu 200) ½ kikombe cha siagi (margarine, kama gramu 133) Mayai 2 Vijiko 2 vikubwa vya vanilla Kikombe 1 cha sukari nyeupe (Ni kama gramu 200. Mie nimetumia mchanganyiko wa sukari nyeupe na brown) Vijiko 1¾ vya hamira ½ kikombe cha maziwa (maziwa ya...
  8. Pilipilihoho

    Mapenzi Ni Matamu Ila Acha Kiherehere!

    Ama hakika mapenzi ni matamu sana ukimpata akupendaye mkashibana. Kumjali mpenzi wako ni jambo la msingi sana lakini ni vizuri kuepuka kuwa na kiherehe sana. Jamaa mmoja alijikuta taabani mara baada ya kumkurupukia mpenzi wake. Jamaa mmoja alikuwa na demu wake ambaye alikuwa anamjali sana kwa...
  9. Pilipilihoho

    Huyu Ndio Mwanamke

    Mwanamke akikuta pesa kwenye mifuko ya suruali yako anazitoa kimya kimya na wala hatakwambia kitu. Sasa akute umesahau kondomu kwenye mifuko ndio utajua kama umeoa kipaza sauti cha sokoni aua mtu! Ndio maana mimi huwa nafungasha kondomu ndani ya hela, akiziona anachukua hela na kubakia kusonya tu.
  10. Pilipilihoho

    Chezea Safari Ya Mbinguni Wewe!

    Jamaa mmoja akiwa na mtutu wa kivita maarufu kama AK47 alivamia kanisa moja la kiroho na kukuta watu wanafanya ibada. Akiwa ameuelekeza mtutu wake juu jamaa alianza kupaza sauti huku akielekea madhabahuni. “Nani ni mtoto wa mungu hapa?” Jamaa alihoji kwa ubabe. “Nauliza hivi, nani ni mtoto wa...
  11. Pilipilihoho

    Salad ya kabichi

    Mahitaji Kabichi 1 Pilipili hoho 1 Karoti 2 Vitunguu maji 2 Kitunguu saumu 1 Limao au ndimu Tangawizi 1 Mafuta vijiko 3 (olive oil) Chumvi Maelekezo Katakata kabichi, pilipili hoho, karoti, kitunguu maji. Twanga kitunguu saumu na tangawizi. Osha kabichi, iweke ichuje maji halafu inyunyizie...
  12. Pilipilihoho

    Naona mwalimu hunipendi

    Alex ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya Mtakuja. Siku moja mwalimu aliingia darasani na kuwataka wanafunzi wasome hadithi moja iliyokuwa inahusiana na wanyama. Baada ya kuisoma ile hadithi kwa kina na kuona matukio ya ile hadithi, mwalimu aliamua kuuliza maswali. Swali hili...
  13. Pilipilihoho

    Magonjwa hatari 10 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

    1. Ugonjwa wa moyo Kiasi kingi cha madini ya magnesium katika mbegu za maboga yanazifanya mbegu hizi kuwa mhimu sana kwa watu wenye magonjwa mbalimabli ya moyo. Madini ya magnesium ni mhimu kwa ajili ya kuimarisha msukumo wa damu kwenye moyo na kuimarisha afya ya mishipa ya damu hatimaye kutibu...
  14. Pilipilihoho

    Juisi ya chungwa na asali

    Mahitaji Juice ya chungwa (Unaweza kukamua au ukatumia ya box) Asali ya nyuki Chombo cha kuchemshia ( sufuria, glass au bilauri) Microwave au jiko la kawaida Maelekezo Unaweza kuandaa juisi hii kwa kuchanganya asali na juisi na kisha kuipasha moto. Kama unatumia microwave changanya juisi na...
  15. Pilipilihoho

    Washua Na Simu Za Kupangusa

    Wazee wengi ni watata na wanakuwa manunda sana wakiwa nyumbani. Sio rahisi sana kupiga stories na dingi kila wakati. Lakini siku hizi muda pekee ambao unaweza kuzoeana na dingi ni pale unapomfundisha kutumia simu ya smartphone yaani simu za kupangusa. Huwa wanakuwa wapole sana aisee yaani hapa...
  16. Pilipilihoho

    Ukiwa Na Demu Wa Hivi Lazima Upate Vichomi

    Jamaa mmoja alipigwa na homa kali ya malaria mpaka akalazwa. Akiwa hospitali hali yake ilianza kuimarika. Habari zikamfikia demu wake kupitia mashoga zake kuwa msela wake anaumwa na kalazwa hospitali. Baada ya muda mchache, yule jamaa akapokea ujumbe mfupi; Demu: Hello baby! Uko wapi? Kwako...
  17. Pilipilihoho

    Sweet, Sticky and Spicy Chicken

    Mahitaji Kuku nusu kilo Asali vijiko 4 Sukari ya brown kijiko 1 na nusu Soy sauce nusu kikombe ,hii ni sawa na vijiko 8 vya mezani Tangawizi vijiko 2 vya chai Kitunguu saumu vijiko 2 vya chai Chilli sauce vijiko 3 vya mezani Chumvi kiasi Cayenne pepper kiasi Mafuta ya olive vijiko 5 vya...
  18. Pilipilihoho

    Panya Dume

    Profesa mmoja alikuwa anafanya utafiti wa kisayansi juu ya nguvu ya chakula dhidi ya ngono. Akaanza kwa kufanya majaribio ya panya. Alimfungia panya dume katika kibanda chake kwa muda bila kumpa chakula kizuri. Siku hiyo akawaita wanafunzi wake ili awaoneshe uvumbuzi wake. Mara ya kwanza...
  19. Pilipilihoho

    Semina Songea

    Jamaa alimwaga mkewe kwamba anaenda Songea kwa ajili ya semina ya siku saba. Kumbe alihamia kwa mchepuko wake nyumba ya jirani. Alipoamka siku ya kwanza, aliamua kuchungulia hali inayoendelea nyumbani kwake kwa sababu haikuwa mbali sana na pale alipokuwa amesafiria! Ghafla alitahayari kumwona...
  20. Pilipilihoho

    Mtoto Ni Wa Mama Siku Zote

    Mama mmoja mswahili na mwanawe wa miaka mitano walikuwa ndani ya taxi usiku. Wakapitishwa mitaa ambayo wanawake wanajiuza: mtoto: Mama, hao watu waliosimama kando kando ya barabara wanafanya nini? Mama: Wanawasubiri waume zao watoke kazini waje wawachukue ili warudi mwajumbani mwao! Dereva...
Back
Top Bottom