Search results

  1. KWEZISHO

    Kenya: Naibu Gavana apata maambukizi ya Corona na kufanya wagonjwa kufikia 15

    Kuna watu hawaamini mpaka jinamizi la Corona liwe ndani ya nyumba yake. Hebu fikiri ingawa hatuombei, kama hii kitu ianze kuwapata viongozi unafikiri hali itakuwaje? Lazima tungesikia matamko mazito, ila Mungu hutoa fundisho, muda ni Rafiki mzuri!
  2. KWEZISHO

    Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

    Huyu mwandishi Dean R. Kootz amenifikirisha sana. Je aliwezaje kutabiri? Hebu durusu vizuuuri uimalizie weekend bila kuchoka
  3. KWEZISHO

    Tunanunua ng'ombe wadogo/ndama

    Nipo Korogwe, Manundu
  4. KWEZISHO

    Tunanunua ng'ombe wadogo/ndama

    Umuone kwenye picha au tukuletee hapo ulipo?
  5. KWEZISHO

    1st Congo War & Hutu Genocide: Mauaji ya kimbari yaliyosahaulika mashariki ya Congo

    UN ipo kimya sana kuhusu hili jambo. Yawezekana wanajua lakini wanajifanya hawajui. Ila ipo siku hii kitu itakuja kuwekwa wazi. Hebu pitia hizi nyaraka: https://www.theguardian.com/world/2010/aug/26/un-report-rwanda-congo-hutus...
  6. KWEZISHO

    Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    https://hsfnotes.com/arbitration/2019/09/19/winging-it-on-enforcement-south-african-court-lifts-attachment-over-tanzanian-plane-because-underlying-award-ceased-to-exist/?utm_source=Mondaq&utm_medium=syndication&utm_campaign=View-Original
  7. KWEZISHO

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Mtafute yule mteule http://www.nbaa.go.tz/2019/june/members19.pdf
  8. KWEZISHO

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    http://www.nbaa.go.tz/2019/june/members19.pdf
  9. KWEZISHO

    Je, ni kwanini Waafrika hatuna undugu na Wazungu?

    Uliyemwambia ni mtumwine mimi nilikuwa naweka sawa jamvi. Pole sana
  10. KWEZISHO

    Kasi kubwa internet kifurushi kipya kutoka VODACOM

    Hilo neno lenu la vigezo na masharti kuzingatiwa binafsi linanikera sana. Mbona hatuelezwi ni vigezo gani na masharti gani yanatakiwa kuzingatiwa?
  11. KWEZISHO

    Tanzania umefika wakati tuwe na salamu yetu ya kitaifa

    Mbona tunasalimiana "Mambo" na mwenzako anajibu "Poa"
  12. KWEZISHO

    Je, ni kwanini Waafrika hatuna undugu na Wazungu?

    https://www.snopes.com/news/2017/06/09/black-children-alligator-bait/ https://thewestsidegazette.com/research-reveals-that-black-children-were-fed-to-hogs-and-used-as-alligator-bait-in-the-early-1900s/
  13. KWEZISHO

    Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

    Kama ni hivyo kwa nini bandiko lako lisiambatanishwe na vielelezo vyenye kuonyesha aina za mashine pamoja na maelezo ya kiufanisi?
  14. KWEZISHO

    Mo Dewji azidisha utata wa kutekwa kwake baada ya mahojiano BBC

    Haya maeneo yooote yana ulinzi mkali wa kamera. Hilo tukio linaweza kutafutwa na kuangaliwa lilivyotokea. Ukiangalia kwa undani utaona ni kama "anagandamizia" au kuigilizia
  15. KWEZISHO

    Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

    Je, kwa walio Mikoa mingine tofauti na Kilimanjaro watapaje huduma yako. Au una mawakala sehemu zingine za nchi?
  16. KWEZISHO

    Mo Dewji azidisha utata wa kutekwa kwake baada ya mahojiano BBC

    Hilo eneo la Gymkana lina camera za kiusalama. Hata Rais alionyesha mashaka jinsi tukio lilivyokuwa
  17. KWEZISHO

    Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Haya ndio maajabu ya hizi Bima. Unaperembwa kwa maneno mazuuuuri halafu kwenye utekelezaji sufri
  18. KWEZISHO

    Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Samahani, ni CHF badala ya CHIF, CHF ni Community Health Fund, mwanzo gharama zao ilikuwa ni shiligi 10,000, lakini kuanzia mwaka huu wamepandisha ni shilingi 30,000. Wenyewe wanadai imeboreshwa lakini dawa na vipimo havipatikani.
Back
Top Bottom