Search results

  1. J

    Kwa asili kuna ishara Tundu Lissu ni Dikteta na Much know hafai kwenye nafasi ya Urais na Uenyekiti

    wachache sana wanaliona hilo. sio kwamba mimi ni mshabiki wa wanasiasa napenda kumuona kiongozi bora anayetufaa. nammunga mkono tl kwa asilimia nyingi na usemaji wake lakini hafai kabisa kuwa kiongozi mwenye madaraka makubwa
  2. J

    DOKEZO Kashfa ya Rushwa na Uhaba wa Mafuta: Hatma ya EWURA na Waagizaji wa Mafuta

    m imi nadhani inabigi tufikirie kwa kina sana au tutafute sababu za muhimu. january lashika hiyo nafasi kwamuda sasa, kwanini tatizo lipo sasa hivi?!? kama ni mla rushwa kiasi hicho tatizo si lingeanza alipoteuliwa??!!!??, nawaza nakosa majibu kumhusisha waziri na tatizo la kukatika umeme...
  3. J

    Yatokanayo baada ya Humphrey Polepole kuvamiwa! Maswali muhimu kwa wahuni

    mmh!!!!, mjadala mbovu kabisa kuwahi kutokea humu. Tunaamini vipi kwamba hiki ni chumba cha polepole??!!?? ukiangalia kwa makini utagundua hiki chumba kiliandaliwa kabisa kwa ajili ya picha hii. POLITIKI ZA MAJI TAKA HIZI
  4. J

    Mchungaji Kimario amesema vizuri kuwa wazee waache kazi wakajiajiri, naomba yeye awe mfano

    nashindwa kujua wewe unaijuaje ajira. mchungaji ka create ka sekta ka ajira hapo kanisani kwake, yeye akiwa mkurugenzi mkuu. na wewe muige kwa njia zingine usibaki kumlalamikia tuuu!!!
  5. J

    Majaribio ya SGR Dar mpaka Morogoro yakwama, Vichwa havijakamilika kutengenezwa

    sioni sababu kwa nini mnabishana a kurushiana vijembe!!!, alichokiongea huyu jamaa ni kitu fikirishi, ni ukweli tu ulio wazi kabisa kwamba mzigo kutoka mwanza/kanda ya ziwa ni mchache mno kuifeed sgr vya kutosha. kinachotakiwa hapa ni kuanza kujipanga kuhakikisha mzigo unapatikana.ndizi na dagaa...
  6. J

    Serikali inafanyaje kuhusu Takataka za kielektroniki

    Serikali kupitia NEMC kuna kitu inafanya, kwa sisi wadau wa taka hatarishi hatuna wasiwasi na hilo kw serikali, tatizo liko kwetu sisi wananchi, wewe mwenye elimu kidogo kuhusu hilo hebu jitahidi kuisambaza elimu hii kwa watz kwa kadri utakavyowafikia.
  7. J

    Nataka nikatafute maisha Congo, msaada wa mawazo

    congo drc ndugu yangu hakuna cha ndumba,ni kianzio na kulijua soko. nenda lubumbashi, uwe na jeans,sukari ngano,cement. n.k acha hirizi zako huku home
  8. J

    Tunachokishuhudia Kenya si maandamano ya amani bali ni vurugu na uhalifu

    NDUGU YANGU wanasiasa wakiwa majukwaani wanajitahidi sana kudanganya wananchi, eti katiba inasema hivi, lakini nenda kwenye sheria pia zinasema vipi kuhusu usalama hasa wa rais, kuna nchi hapa majuzi rais alivamiwa ikulu na wananchi hakuna nchi itaruhusu jambo hilo litokee hata ikiwa na katiba...
  9. J

    Tunachokishuhudia Kenya si maandamano ya amani bali ni vurugu na uhalifu

    haipo hiyo duniani, uende ikulu kiholela tuuu??!!!?? haipo hiyo nchi ya kufikirika
  10. J

    Yuko wapi Bilionea Yusuf Manji?

    ndiyo biashara kubwa ziko hivyo, matajiri wote duniani wan mikopo benki na taasisi zingine tene mikubwa tu, na wewe fanya mpango uaminike na mabenki utakopa utakuwa tajiri pengine kuzidi hata Manji
  11. J

    Kutoka Dola Milioni 37 hadi Dola Milioni 89, Mungu ingilia kati

    yes!!! unadhani ni ya mwaka jana?!?, haijawahi tokea report ya CAG ya hivyo tangu uhuru
  12. J

    Maridhiano ya CCM na CHADEMA Ndiyo Kawaida ya Vyama vya Siasa Duniani Ilivyo?

    siasa zetu zilifika mahali pabaya sana ulikuwa ni uadui badala ya kuifikiria nchi. wenzetu sidhani kama wako hivyo, kwenye mambo ya msingi ya nchi wanaungana na kuwa kitu kimoja, wao wote wapinzani na watawala kiu ya ni maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii, sisi tunalilenga sana kukomoana na...
  13. J

    Waturuki wa SGR Lot I

    sina hakika hata kama reli yenyewe kishaiona. akumbuke tetemeko lililopiga japan, fukushima ilimelt
  14. J

    UZUSHI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Tundu Lissu ina chupa ya Konyagi

    kwanikunywa konyagi ni kosa!!????
  15. J

    Anthony Diallo aitaja TANESCO sababu ya kusuasua kwa STAR TV

    no, wameanza kusuasua kipindi kiretu tu, ila mzee magu aliongezea kuni tu
  16. J

    Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo

    na mara nyingi case hizi huishia mahakama za mwanzo, looh!!!! huko sheria hazitafasiriwi kiuweledi ni kutizamana usoni
Back
Top Bottom