Search results

  1. J

    Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Njombe ahamia CCM

    Aliyekua MWENYEKITI wa CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAKILI EDWIN ENOSY SWALE AMEHAMIA CMM Edwin Enosy Swale mwaka 2015 aligombea ubunge kuptia tiketi ya Chadema kwenye Jimbo la lupembe, hata hivyo leo tar 06/10/2019 ametangaza rasmi kujiunga na chama cha mapinduzi katika ofisi za CMM mkoa wa Njombe
  2. J

    Masada wa kitaalamu

    Je inakuaje mwanamke mwenye mimba anatokwa na damu mara moja halfu inakataa?
  3. J

    Sababu 4 za mwanamke kutopenda kuanzisha tendo la ndoa faragha

    SOMA ZAIDI MAMBO YA MAPENZI NA MAHUSIANO KUPITIA HAPA Wanaume huonekana kushangazwa sana na tabia ya wanawake kutopenda kuanzisha tendo la ndoa wanapokuwa faragha. Licha ya wanaume kutokuwa na tatizo la kuanzishatendo la ndoa faragha, wakati mwingine wanaume hutamani kuona wanawake wakifanya...
  4. J

    Mambo manne yaliyoafikiwa kwenye kikao cha dharura kuhusu kusudio la Manji kujitoa Yanga

    August 16 2016 ikiwa ni siku moja imepita toka kuenea kwa habari katika mitandao ya kijamii kuwa mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amejiuzulu nafasi yake ya uenyekiti kwa madai ya kuandamwa na maneno na kujihisi mpweke kwani hakuna mwanachama yoyote wa Yanga aliyeonesha kuwa upande wake. Baada...
  5. J

    Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

    Hatimaye aliyekuwa Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Josephine Mushumbusi. Wawili hao walifunga ndoa nchini Canada jana katika kanisa moja, lakini habari zinaeleza si kanisa Katoliki ambalo Dr Slaa aliwahi kuwa Padri kwa kipindi cha miaka 20...
  6. J

    Anaswa kwa kumwomba rushwa mgonjwa wodini

    IGP Ernest Mangu. MHUDUMU wa afya mwandamizi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Paul Ngassa (57) amekamatwa akidaiwa kupokea rushwa ya Sh 40,000 kutoka kwa mgonjwa Edward Tindi aliyefanyiwa upasuaji hospitalini hapo. Mgonjwa huyo aliyekuwa amelazwa katika hospitali hiyo ni...
  7. J

    Maktaba ya kuelea yatia nanga Dar es Salaam

    Meli ambayo imebebea maelfu ya vitabu, ambayo huhudumu kama maktaba, imetia nanga bandarini Dar es Salaam. Meli hiyo ina zaidi ya vitabu 5,000 pamoja na video. Itakuwa bandarini Dar es Salaam kwa muda wa wiki tatu hivi, hadi tarehe 17 Februari Wananchi wataruhusiwa kuingia kati ya...
Back
Top Bottom