Search results

  1. N

    Jakaya Kikwete afungua shule mpya ya msingi Msoga

    Anaona akijenga chuo kikuu, hakitapata watu kutoka kwao, ina maana kama kufika chuo kikuu watafika wachache sana na kama watafika chuo kikuu. Ni bora ajijengee shule ya msingi ambayo kila mtu anaingia bila mtihani. Ni aibu kweli anataka mambo laini laini, kwenda UDOM kashindwa, kamwachia Pinda...
  2. N

    Tanzania ya sasa ni kama ngombe aliyekatwa kichwa!

    Ulichosema ni sahihi kabisa, kama ng'ombe hana kichwa unategemea nini? haoni aendako, akili haipo ............ ni kweli hata sijui tunakoelekea, tunasubiri kujibamiza sehemu, na matokeo yake sijui yatakuwaje. Tuombe Mungu atunusuru na hali hii, pamoja na hivyo inabidi tutafute jinsi ya...
  3. N

    Makamba Vs Tambwe Hiza nani mkali wa Pumba?

    Makamba ni zaidi anatukana Viongozi wa Dini, badala ya kuomba msamaha na kukaa kimya bado anaendelea kuongea kwenye vyombo vy habari. Ni bora aache kutumia vitabu vitakatifu vya dini sababu ana uelewa finyu wa vitabu hivyo.
  4. N

    Chadema hawajakiuka maadili?

    Hii yote ni njia serikali kutaka kuonyesha ya kwamba kuna udini. Mungu tunakuomba tunusuru tanzania na hali hii mbaya, hatujui tuendako.
Back
Top Bottom