Lakini mbona hatujiulizi kama viwanda vya sukari wanazalisha na kuuza au kusambaza sukari kwa sasa wakati wa sakata la upungufu wa sukari kwa walaji wa mwisho?
Utaratibu wa uzalishaji na usambazaji wa sukari nchini ukoje? Nani aliuweka na nani anausimamia? Utaratibu wa uagizaji sukari nje na...
Dear JMisiru,
Thanks a lot for putting together this precious piece of advise. Keep it in English. I believe those of us who would keep to our course to greatness will in the end realize that perseverance pays a lot.
Tatizo kubwa la watanzania ni uoga usiokuwa na maana. Wazo la mutual funds ni wazo zuri sana. Lakini hata wazo la Enterprise Growth Market, soko lililoanzishwa na Dar es Salaam Stock Exchange, ni wazo zuri sana. Kwa wale waliosoma finance wataniunga mkono kwamba hakuna uwekezaji usiokuwa na...
Kwa wale ambao majina yao hayapo kwenye orodha iliyobandikwa nje ya kituo na nakala iliyoko mikononi mwa DIRECTION CLERK aliyepo nje, wasihofu kwani kuna orodha iko ndani yenye majina na picha ambayo ndiko uhakiki wa majina na picha unakofanyikia. Waombe majina yao yaangaliwe huko. Orodha hii...
Ni Dr. Slaa. Sera na mikakati ya Dr. SLAA na CHADEMA kwa ujumla kweli itaturudishia hesima ya kufanya kazi kwa bidii huku tukifuata sheria na taratibu za nchi yet. Mwisho wa ufisadi na ubabaishaji
Haya mafaili ya Mang'ula ni yapi? Nani alimkataza kuyatoa. Mmmh! Sidhani kama hii ni sehemu ya utaratibu wa CCM. Ndiyo maana hakuyatoa hayo mafaili binafsi.
Katika hatua hii ya nmwisho ya awamu ya JK tunahitaji watu waadilifu kweli kweli, siyo marafiki. Watu hao wapo. Marafiki watamuangusha kama alivyofanya Edo and Company.Kura zetu tuzielekeze kwa watu hao.
Lengo langu siyo kueleza maana ya uzawa. Mimi ninaunga mkono sera ya uzawa kama ilivyoelezwa na Mh. Simba. Tulipokuwa wajamaa, njia kuu zote za uchumi zilikuwa mikononi mwa serikali kwa niaba ya wananchi wake. Baada ya mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa, njia hizo zilnarudishwa katika mikono ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.