Search results

  1. G

    Tatizo si Ufisadi kamwe

    Said truth
  2. G

    Zijue hatua 5 za usingizi

    Mada tamu sana hii tuendelee na hatua nyingine plz
  3. G

    Waziri wa Afya hajui Kiswahili vizuri

    Bas wazir atakua amechemsha zaid kama alimaanisha surgery kwa kusema oppression
  4. G

    Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

    Kinachoendelea kwa sasa plz
  5. G

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    sema najitoa sio tunajitoa, kumbuka Siasa kila mmoja ana uhuru wa kuchagua chaguo linalomfaa
  6. G

    Elections 2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

    huo ni mtazamo na fikra zake so ni vyema kutafakari kwa kina
  7. G

    Tukutane hapa tuliomaliza Old Moshi

    Haya tumekuja, mie pia nilipita hapo old scul miaka ya nyuma kidogo 2000 form six
  8. G

    General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

    Kwa kweli viwanda ni vingi sana mwatex kile cha tanbond na pride vyote vimeenda na maji kwa fikra za wasaka tonge na bado wengine wanaonekana ni resource person na think tank ktk taifa letu
  9. G

    Tangazo hili la "Hakielimu" sidhani kama litadumu

    Mi nimeliona limebeba ujumbe yenye uhalisia kwenye shule nyingi hasa zilizopo vijijini sasa ni wajibu wetu na serikali kuchukua hatua na sio kuliondoa tangazo
  10. G

    Mama mkwe ananikonyeza

    duh hiyo ni hatari kama ni kweli take care
  11. G

    Kwa hali hii vodacom watangazwe kuwa janga la taifa

    kwa kweli voda wanaboa sana ukataji huu upo sana na wakati mwingine unaweka fedha ili ujiunge unaambiwa salio halitoshi wakati mwingine unatumiwa salio au kifurushi chako kimekwisha wakati muda wake bado hujatumia so voda ni mzigo kwa kweli
  12. G

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    safi sana wengi walitaka kutumia mwanya wa kuchoka kupitisha kwa urahisi hoja zao bunge limehairishwa waje kesho wakiwa fresh
  13. G

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    bado ngoma inaendelea aliyopendekeza zitto yamepingwa
  14. G

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    update jamani naona umeme umekatwa sehemu kubwa kweli
  15. G

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    kweli umekasirika kweli hadi unatoa maneno makali hii ndio nchi ya ****** inabidi tutafakari comin' 2015
  16. G

    CHADEMA, tunaweza kuitumia The Hague au Brussels?

    ushauri ni mzuri ila utekelezaji wake ni gharama kubwa na je mfumo uko tayari kuliachia hilo lifanyike?
  17. G

    Real Madrid v/s Bayern Münich - Nani ataungana na Chelsea?

    kwa sasa matokeo yakoje?
  18. G

    Ajali ya Basi la ABOOD toka Morogoro

    Nawapa pole waliopata ajali
Back
Top Bottom